-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 09:31Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.
-
Jumamosi, 16 Disemba, 2023
Dec 16, 2023 02:51Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Tisa Jamad Thani 1445 Hijria mwafaka na tarehe 16 Disemba 2023.
-
Jumapili, 03 Disemba, 2023
Dec 03, 2023 02:30Leo ni Jumapili 19 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe tatu Disemba, 2023 Miladia
-
Ulimwengi wa Spoti, Nov 27
Nov 27, 2023 05:56Natumai u mzima wa afya popote pale uliopo mpenzi msikilizaji. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa
Nov 13, 2023 11:51Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.
-
Jumamosi, 30 Septemba, 2023
Sep 30, 2023 02:26Leo ni Jumamosi tarehe 14 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe 30 Septemba 2023 Miladia.
-
Uliwengu wa Michezo, Sep 18
Sep 18, 2023 10:20Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Alkhamisi, tarehe 30 Machi, 2023
Mar 30, 2023 02:43Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Ramadhani 1444 Hijria sawa na 30 Machi 2023.
-
Mapinduzi ya Kiislamu: Ilhamu ya kuhuisha Ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu
Feb 12, 2023 07:26Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mnaponitegea sikio wakati huu. Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kusikiliza mfululizo mwingine wa vipindi hivi maalumu tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo maudhui yetu ya leo ni kuhuishwa Ustaarabu wa kisasa wa Kiirani na Kiislamu. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Alkhamisi tarehe 12 Januari 2023
Jan 13, 2023 02:35Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Jumadithani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Januari 2023.