Pars Today
Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 8, mwaka 2018 Milaadia.
Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe 27 Januari mwaka 2018 Miladia.
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 10 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
Leo ni Jumapili tarehe saba Shawwal 1438 Hijria, sawa na tarehe Pili Julai 2017.
Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Ramadhani 1438 Hijria, sawa na 8 Juni, 2017.
Leo ni Jumapili tarehe 25 Rabiul Awwal inayosadifiana na Tarehe 25 Disemba 2016.
Leo ni Ijumaa tarehe 4 Safar 1438 sawa na Novemba 4, 2016.
Kipindi chetu cha juma hili cha Maswali Yetu na Majibu ya Thaqalain kitaendelea kuzungumzia aya ambazo zinajibu swali letu la kiitikadi kuhusiana na msingi wa Uimamu ambalo tumekuwa tukilijadili katika vipindi kadhaa vilivyopita.
Leo ni Jumamosi tarehe 18 Mfunguo Mosi Shawwal 1437 Hijria mwafaka na tarehe 23 Julai mwaka 2016 Miladia.
Leo ni Jumanne 17 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 24 Mei mwaka 2016 Miladia.