Jumatano tarehe 13 Jamadithani 1445 Hijria sawa na Disemba 27 mwaka 2023.
Leo ni Jumanne tarehe 3 Jumadithani 1444 inayosadifiana na tarehe 27 Disemba 2022.
Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1443 Hijria sawa na Disemba 27 mwaka 2021 Milaadia.
Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Rabiuthani 1440 Hijria sawa na 27 Disemba mwaka 2018.
Leo ni Jumatano tarehe 8 Rabiuthani, 1439 Hijria sawa na 27 Disemba, 2017
Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 27, 2016 Milaadia.