• Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds

    Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds

    May 23, 2020 10:30

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.

  • Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu

    Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu

    Feb 02, 2019 04:35

    Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti

    Feb 18, 2018 16:06

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2

    Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2

    Dec 26, 2017 16:46

    Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.

  • Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Dec 19, 2017 11:25

    Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.

  • Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu

    Dec 12, 2016 10:43

    Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.

  • Jumatano 24 Agosti 2016

    Jumatano 24 Agosti 2016

    Aug 24, 2016 10:16

    Leo ni Jumatano tarehe 21 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 24 Agosti 2016.

  • MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds

    MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 29, 2016 08:35

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Ni matarajio yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki.