-
Mamilioni ya Wairani katika maombolezo ya Imam Hussein AS ya Siku ya Ashura
Aug 08, 2022 11:49Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki kwenye vikao vya maombolezo ya kukumbuka dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala katika Siku ya Ashura.
-
Waislamu Iran, Nigeria waungana na wenzao kote duniani katika maombolezo ya Ashura
Aug 08, 2022 07:33Wananchi Waislamu hapa Iran na Nigeria jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS.
-
Jumatatu tarehe 8 Agosti 2022
Aug 08, 2022 02:39Leo ni Jumatatu tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Agosti 2022.
-
Jumamosi tarehe 6 Agosti 2022
Aug 06, 2022 03:54Leo ni tarehe 8 Muharram 1444 Hijria sawa na Agosti 6 mwaka 2022.
-
Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini
Aug 05, 2022 12:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.
-
Iran yawatia mbaroni wanachama wa ISIS waliotaka kushambulia maombolezo ya Muharram
Aug 05, 2022 01:15Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama kumi wenye mfungamano na Wazayuni wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Alkhamisi tarehe 4 Agosti 2022
Aug 04, 2022 03:55Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Muharram 1444 Hijria sawa na Agosti 4 mwaka 2022.
-
Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu
Jul 31, 2022 03:39Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu
-
Kikao cha Moscow cha maulamaa wa Kishia na Kisuni chatilia mkazo umoja na mshikamano
Jul 27, 2022 08:04Sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram, maulamaa na mashekhe wa madhehebu za Suni na Shia wamefanya mkutano wa pamoja katika kituo cha Kiislamu mjini Moscow Russia wakisisitiza juu ya kuwepo umoja baina ya Waislamu na kujiepusha na mifarakano.
-
Jumatatu tarehe 14 Machi 2022
Mar 14, 2022 02:52Leo ni Jumatatu tarehe 11 Shaabani 1443 Hijria sawa na Machi 14 mwaka 2022.