-
Rais wa Ufaransa ampinga Trump, ataka Beitul-Muqaddas itambuliwe kuwa mji mkuu wa Palestina
Mar 08, 2018 01:03Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa, umewadia wakati sasa wa Beitul-Muqaddas kutambuliwa kuwa mji mkuu wa Palestina.
-
Wakristo Quds: Tutaendelea kuwashinda Wazayuni waliozivamia ardhi za Palestina
Mar 01, 2018 01:08Wakristo wa mji wa Quds wamefurahishwa na hatua ya kufunguliwa upya kanisa kuu la 'Al-Qiyamah' baada ya kufungwa kwa siku kadhaa na utawala haramu wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa ni katika safari ya kuelekea ushindi kamili dhidi ya Wazayuni hao wanaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US
Feb 28, 2018 04:28Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.
-
Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani
Feb 25, 2018 23:11Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kufanyika maandamano ya kupinga nia ya Marekani ya kutaka kuuhamishia Quds ubalozi wake ulioko Tel Aviv, karibuni hivi.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yalaani tangazo la kuhamishia ubalozi wa Marekani Quds Tukufu
Feb 25, 2018 03:53Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani vikali hatua ya Marekani kutangaza kuwa itahamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Kigogo wa makasino kugharamia kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baitul-Muqaddas
Feb 24, 2018 23:19Sheldon Adelson, bilionea wa Kiyahudi ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa utawala ghasibu wa Israel ametangaza kuwa, atatoa gharama za kuhamishiwa ubalozi wa Marekani huko Baitul-Muqaddas.
-
Marekani kuuhamishia Quds (Jerusalem) ubalozi wake wa Tel Aviv mwezi Mei mwaka huu
Feb 24, 2018 00:28Licha ya upinzani mkubwa ulioanzia eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa jumla, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kuwa mnamo mwezi Mei mwaka huu ubalozi wa nchi hiyo ulioko Tel Aviv utahamishiwa Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza atembelea msikiti akiwa amevaa mtandio kichwani
Feb 19, 2018 12:09Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametembelea msikiti mmoja mjini London akiwa amevaa mtandio kichwani ikiwa ni sehemu ya kushiriki katika kampeni maalumu ya Waislamu wa Uingereza inayoendeshwa chini ya kaulimbiu ya "Tembelea Msikiti Wangu."
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti
Feb 18, 2018 12:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwatimua Wakristo kutoka Quds Tukufu
Feb 04, 2018 04:36Baraza la Kiislamu-Kikristo la Kuunga Mkono Quds Tukufu (Jerusalem) limetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatekeleza njama za kuwatimua Wakristo kutoka Quds ili kubadilisha muundo wa kijamii wa mji huo uwe ni aghalabu wa Mayahudi.