Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Arab League: Hujuma dhidi ya Beitul-Muqaddas ni kucheza na moto

    Arab League: Hujuma dhidi ya Beitul-Muqaddas ni kucheza na moto

    Feb 02, 2018 00:49

    Ahmed Aboul Gheit, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, hujuma na uvamizi dhidi ya Beitul Muqaddas ni sawa na kucheza na moto.

  • Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 31, 2018 12:02

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.

  • PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Jan 31, 2018 04:40

    Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hakutafanyika mazungumzo au maonyesho yoyote yale na Marekani madhali Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajafuta uamuzi wake wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

  • UN yapinga tena uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Quds tukufu

    UN yapinga tena uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Quds tukufu

    Jan 26, 2018 13:13

    Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimesisitiza tena upinzani wa jamii ya kimataifa dhidi ya uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake katika mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Baraza la Usalama linakutana leo kujadili kadhia ya Palestina

    Baraza la Usalama linakutana leo kujadili kadhia ya Palestina

    Jan 25, 2018 03:18

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo Alkhamisi katika kikao chake cha dharura kwa shabaha ya kujadili kadhia ya Palestina.

  • Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Jan 19, 2018 00:44

    Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono Quds uliofanyika katika Chuo Kikuu cha al-Azhar huko Cairo Misri umesisitiza umuhimu wa kutangazwa Baytul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.

  • Abbas: Quds inaweza kuwa lango la amani au vita, Trump achague

    Abbas: Quds inaweza kuwa lango la amani au vita, Trump achague

    Jan 17, 2018 23:03

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amesema mji wa Baitul Muqaddad unaweza kuwa lango la kupatikana amani au kuibua vita, na Marekani ina khiari ya kuchagua njia inayoitaka.

  • Kiongozi Muadhamu:

    Kiongozi Muadhamu: "Ufidhuli mkubwa inaofanya Marekani" kuhusiana na Quds Tukufu hautafika popote

    Jan 16, 2018 13:39

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani imekuwa ikifanya "ufidhuli mkubwa" kuhusu Quds Tukufu na kuongeza kuwa njama zake hizo hazitafika popote.

  • Rais wa Palestina: Tutakata uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zake Quds

    Rais wa Palestina: Tutakata uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zake Quds

    Jan 15, 2018 11:04

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametahadharisha kwamba, mamlaka hiyo itakata uhusiano wake na nchi yoyote ile ambayo itafuata uamuzi wa Marekani na kuuhamishia ubalozi wake huko Beitul-Muqaddas kutoka Tel-Aviv.

  • Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Bandera za Israel zachomwa moto kumkaribisha Netanyahu India

    Jan 14, 2018 04:32

    Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa India, New Delhi, kabla ya kuanza safari ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    4 hours ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    24 hours ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    1 day ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    1 day ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Pezeshkian: Makosa yote ni ya Marekani, kabla ya vita Hormuz ilikuwa wazi

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Mkurugenzi wa zamani wa UN: Netanyahu na wenzake lazima watiwe mbaroni

  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Jeshi la Ethiopia: Waasi 272 wa TPLF wameuawa baada ya kushindwa jaribio lao mashambulizi

  • Bei ya dizeli yapaa tena Ulaya, yavunja rekodi ya miaka 21 iliyopita

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS