-
Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyeuzuliwa akimbia nchi
Nov 09, 2017 04:28Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na kutimuliwa ndani ya chama tawala Zanu-PF hivi karibuni amekimbilia uhamishoni akidai kuwa maisha yake yamo hatarini.
-
Rais Al-Sisi wa Misri: Ninaheshimu katiba, sitagombea uchaguzi wa mwakani
Nov 07, 2017 23:25Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, hatojiandikisha kwa jili ya kugombea tena ushaguzi wa rais ujao kwa muhula wa tatu.
-
Upinzani Kongo DR wapinga tarehe ya uchaguzi iliyotangazwa na CENI
Nov 06, 2017 23:14Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimepinga tarehe ya uchaguzi iliyopendekezwa na Tume ya Uchaguzi CENI hivi karibuni.
-
Mahakama ya Juu ya Liberia yasimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais
Nov 06, 2017 10:16Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Juu ya Liberia imesimamisha kwa muda usiojulikana kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyotazamiwa kufanyika kesho Jumanne.
-
Mahakama Kuu ya Liberia yasimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais
Nov 02, 2017 04:06Mahakama ya Juu nchini Liberia imesimamisha duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyotazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo, kutokana na madai ya uchakachuaji na dosari chungu nzima katika uchaguzi wa Oktoba 10.
-
'Polisi Kenya wameshaua watu 36 katika machafuko ya uchaguzi'
Nov 01, 2017 12:47Shirika moja la haki za binadamu la Kenya limetoa ripoti na kusema kuwa, zaidi ya watu 36 wameshauliwa na polisi tangu tarehe 11 Agosti siku yalipotangazwa matokeo ya uchaguzi wa kwanza wa rais nchini Kenya hadi hivi sasa.
-
Ruto: Uchaguzi mwingine Kenya utafanyika 2022, wala sio ndani ya siku 90
Oct 30, 2017 04:34Naibu wa Rais wa Kenya amesema uchaguzi mwingine wa rais utafanyika mwaka 2022 kwa mujibu ya miongozo ya Katiba na Sheria za Uchaguzi na wala sio ndani ya siku 90 kama anavyoshinikiza kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga.
-
Wakenya wanasubiri matokeo rasmi ya uchaguzi, Kenyatta atazamiwa kushinda
Oct 28, 2017 13:44Wakenya wangali wanasuburi matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais wa marudio uliofanyika Alhamisi huku Uhuru Kenyatta akiwa bado anaongoza na akitazamiwa kutangazwa mshindi baada ya kinara wa upinzani Raila Odinga kususia uchaguzi huo.
-
Uhuru Kenyatta aongoza kwa 96%, Odinga ataka uchaguzi mpya ndani ya siku 90
Oct 28, 2017 06:14Rais Uhuru Kenyatta anaongoza kwa asilimia 96 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa marudio wa urais uliofanyika Alkhamisi iliyopita nchini Kenya.
-
DRC: Tarehe ya uchaguzi inapangwa na tume, sio Marekani
Oct 28, 2017 04:33Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo CENI yenye mamlaka na uwezo wa kupanga tarehe ya uchaguzi nchini na wala sio Marekani.