Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Jumatatu 12 Juni, 2017

    Jumatatu 12 Juni, 2017

    Jun 11, 2017 21:04

    Leo ni Jumatatu tarehe 17 Ramadhani 1438 Hijria sawa na Juni 12, 2017.

  • Theresa May ashindwa vibaya katika uchaguzi wa Uingereza

    Theresa May ashindwa vibaya katika uchaguzi wa Uingereza

    Jun 10, 2017 03:03

    Katika hali ambayo Theresa May Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye pia ni kiongozi wa chama cha Wahafidhina alikuwa anataraji kupata wingi mutlaki wa viti katika uchaguzi wa mapema wa bunge alioitisha nchini humo, chama chake hicho kimepata pigo kubwa na hata kupoteza wingi wa viti bungeni.

  • Matokeo ya awali ya uchaguzi Uingereza, chama cha Theresa May kimepoteza wingi bungeni

    Matokeo ya awali ya uchaguzi Uingereza, chama cha Theresa May kimepoteza wingi bungeni

    Jun 08, 2017 23:41

    Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Uingereza yanaonesha kuwa, chama cha Conservative kimeshinda kwa kupata viti vingi vya Bunge ingawa kimepoteza wingi mutlaki.

  • Zarif: Wananchi wa Iran hawaogopeshwi na vitisho

    Zarif: Wananchi wa Iran hawaogopeshwi na vitisho

    May 25, 2017 23:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, taifa la Iran ni taifa imara na la watu wasiotetereka hivyo haliogopeshwi na vitisho vyovyote vya Marekani.

  • Rouhani: Washindi halisi katika uchaguzi wa Iran ni wananchi

    Rouhani: Washindi halisi katika uchaguzi wa Iran ni wananchi

    May 20, 2017 23:04

    Rais mteule wa watu wa Iran katika awamu ya 12 amesema mshindi halisi katika uchaguzi wa rais wa Mei 19 ni wananchi wa Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Mshindi wa uchaguzi ni wananchi wa Iran na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu: Mshindi wa uchaguzi ni wananchi wa Iran na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    May 20, 2017 08:50

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa uchaguzi wa jana Ijumaa (Mei 19, 2017) wa Iran na kusema kuwa, mshindi wa uchaguzi huo ni wananchi wa Iran na mfumo Jamhuri ya Kiislamu ambapo licha ya kuweko njama nyingi za maadui, lakini uchaguzi huo umevutia umati mkubwa wa wananchi wa taifa hili kubwa kwa namna bora kabisa.

  • Rais Hassan Rouhani atangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa jana

    Rais Hassan Rouhani atangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa jana

    May 20, 2017 05:36

    Tume ya uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imemtangaza Rais Hassan Rouhani kuwa mshindi wa duru ya 12 ya uchaguzi wa rais iliyofanyika Ijumaa ya jana kwa kupata asilimia 57.

  • Rais Hassan Rouhani aendelea kuongoza katika matokeo ya pili ya uchaguzi wa jana

    Rais Hassan Rouhani aendelea kuongoza katika matokeo ya pili ya uchaguzi wa jana

    May 20, 2017 03:44

    Kwa mujibu wa matokeo ya awamu ya pili ya uchaguzi wa rais wa duru ya 12 nchini Iran, Rais Hassan Rouhani ameendelea kuongoza kwa kupata zaidi ya kura milioni 22.

  • Rais Rouhani anaongoza katika matokeo ya awali, akifuatiwa na Raeisi

    Rais Rouhani anaongoza katika matokeo ya awali, akifuatiwa na Raeisi

    May 19, 2017 23:30

    Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi uliofanyika jana hapa nchini Iran linaendelea na matokeo ya awali yanaonyesha kuwa, Rais wa sasa Hassan Rouhani anaongoza akifuatiwa na Sayyid Ibrahim Raeisi.

  • Muda wa upigaji kura katika uchaguzi wa rais wa Iran waongezwa

    Muda wa upigaji kura katika uchaguzi wa rais wa Iran waongezwa

    May 19, 2017 12:07

    Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeongeza muda wa kupiga kura katika uchaguzi wa duru ya 12 ya urais.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS