-
Waziri wa Ulinzi Iran: Kushiriki kwa wingi Iran katika uchaguzi
May 16, 2017 09:08Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Ijumaa ndio kinga kubwa zaidi ya kuyazuia madola ya kibeberu yanayotoa vitisho dhidi ya Iran.
-
Qalibaf ajiondoa katika uchaguzi wa rais Iran, amuunga mkono Raisi
May 15, 2017 09:15Meya wa Tehran Mohammad Baqer Qalibaf amejiondoa katika mchuano wa kuwania urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran
May 14, 2017 11:56Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.
-
Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran
May 14, 2017 08:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.
-
Wagombea urais Iran wafanya mdahalo wa tatu na wa mwisho
May 12, 2017 22:54Wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, jana jioni walifanya mdahalo wa tatu na wa mwisho ambao ulihusiana na suala la uchumi.
-
Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran
May 12, 2017 11:45Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, amesema kuwa ushiriki wa wananchi wa Iran katika nyanja mbalimbali za kisiasa na katika uchaguzi ni dhihirisho la uwezo, izza na imani ya wananchi hao kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Mdahalo wa tatu wa wagombea urais Iran kufanyika Ijumaa Alasiri
May 12, 2017 01:14Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa wagombea sita wa kiti cha urais wa awamu ya 12 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utafanyika leo saa kumi na nusu kwa majira ya Tehran .
-
Zaidi ya Wairani milioni 56 wametimiza masharti ya kupiga kura
May 09, 2017 23:17Kamati ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Wairani zaidi ya milioni 56 wametimiza masharti yote ya kupiga kura na hivyo wanatazamiwa kushiriki katika uchaguzi ujao wa urais.
-
Kiongozi Muadhamu: Ushiriki wa wananchi katika uchaguzi utadhihirisha adhama ya Iran mbele ya maadui
May 07, 2017 07:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mahudhurio ya wananchi katika medani mbalimbali hususan katika uchaguzi kutakuwa ni kinga na mlinzi wa maslahi ya taifa la Iran na kuwa kutadhihirisha adhama ya Mfumo wa Kiislamu mbele ya macho ya maadui.
-
Ayatullah Kashani atoa wito wa mshikamano na umoja wa kitaifa wakati wa uchaguzi wa Iran
May 05, 2017 09:39Kaimu Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran ametoa wito wa kudumishwa mshikamano na umoja wa kitaifa wakati huu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapojiandaa kuelekea katika uchaguzi mkuu.