Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Masanduku ya kupigia kura ya uchaguzi wa rais wa Iran yatawekwa London na kwenye miji  mingine sita ya UK

    Masanduku ya kupigia kura ya uchaguzi wa rais wa Iran yatawekwa London na kwenye miji mingine sita ya UK

    May 05, 2017 03:25

    Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uingereza umetangaza kuwa ili kuwafanyia wepesi Wairani wanaoishi nchini humo wa kupiga kura za uchaguzi wa 12 wa kumchagua rais wa Iran, mbali na London, masanduku mengine ya kupigia kura yatawekwa kwenye miji mingine sita ya nchi hiyo.

  • Zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa Rais Iran

    Zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa Rais Iran

    May 04, 2017 10:05

    Uchunguzi wa maoni unaonesha kuwa, takriban asilimia 70.6 ya wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa 12 wa Rais humu nchini.

  • Wananchi wa Algeria wajitokeza kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge

    Wananchi wa Algeria wajitokeza kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge

    May 04, 2017 09:44

    Wananchi wa Algeria waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo Alkhamisi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge lijalo la nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  •  Kiongozi Muadhamu: Uchaguzi unabainisha mshikamano usio na kifani wa wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu: Uchaguzi unabainisha mshikamano usio na kifani wa wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    May 01, 2017 02:58

    Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumapili alikutana na wafanyakazi wa sekta mbali mbali humu nchini siku moja kabla ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani.

  • Kiongozi: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kutapunguza shari ya maadui

    Kiongozi: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kutapunguza shari ya maadui

    Apr 30, 2017 11:45

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kushiriki kwa wingi wananchi wa matabaka yote katika chaguzi za nchini Iran, daima kumekuwa kukipunguza kivuli cha uadui wa maadui wa taifa hili na kwamba mara hii pia kujitokeza kwa wingi wananchi kwenye uchaguzi huo kutapunguza shari za adui.

  • Mdahalo wa  kwanza wa wagombea urais Iran wafanyika

    Mdahalo wa kwanza wa wagombea urais Iran wafanyika

    Apr 28, 2017 10:23

    Wagombea sita wa uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alasiri ya leo wameshiriki katika mdahalo wa kwanza wa moja kwa moja katika kanali ya kwanza ya televisheni ya taifa.

  • Spika wa Bunge la Iran: Uchaguzi ni hatua kubwa katika njia ya kukabiliana na adui

    Spika wa Bunge la Iran: Uchaguzi ni hatua kubwa katika njia ya kukabiliana na adui

    Apr 27, 2017 22:37

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa mwezi ujao na kusema kuwa, uchaguzi ni hatua moja kubwa katika njia ya kukabiliana na adui.

  • Uchaguzi wa rais wa Iran kufanyika katika nchi 102 duniani

    Uchaguzi wa rais wa Iran kufanyika katika nchi 102 duniani

    Apr 24, 2017 10:36

    Tume ya Uchaguzi ya Iran imetangaza kuwa, uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Iran utafanyika katika nchi 102 kote duniani.

  • Spika: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kutawezesha kushindwa njama za maadui

    Spika: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kutawezesha kushindwa njama za maadui

    Apr 22, 2017 23:52

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema uchaguzi ni jambo hasasi na jema na akasisitiza kwamba kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi kutapelekea kushindwa njama za maadui.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mahudhurio makubwa ya wananchi katika uchaguzi yatadhihirisha nguvu ya Iran

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mahudhurio makubwa ya wananchi katika uchaguzi yatadhihirisha nguvu ya Iran

    Apr 21, 2017 11:53

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi ujao, kutaonyesha nguvu na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS