-
Hatua kwa hatua kuelekea kwenye uchaguzi wa rais wa Iran, majina ya wagombea yatangazwa
Apr 21, 2017 09:57Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Alkhamisi ya jana lilitangaza majina ya watu sita waliotimiza masharti ya kugombea kiti cha Rais katika uchaguzi ujao na kuyatuma kwa Wizara ya Mambo ya Ndani.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais Iran zaanza
Apr 21, 2017 03:10Baada ya mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, kutangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kampeni zimeanza rasmi leo Ijumaa.
-
Majina ya wagombea urais Iran yatajwa, kampeni za uchaguzi zaanza
Apr 20, 2017 23:45Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, jana usiku alitangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mara baada ya kutangaza majina hayo alisema kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 66 cha sheria ya uchaguzi ya Iran, kampeni za uchaguzi wa 12 wa Rais zimeruhusiwa kuanza.
-
Zoezi la kuwachuja wagombea urais Iran laanza
Apr 16, 2017 11:33Zoezi la kuwachuja waliojiandikisha kugombea awamu ya 12 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanza leo Jumapili na matokeo yanatazamiwa kutangazwa katika kipindi cha siku tano zijazo.
-
Shakhsia wakubwa wa kisiasa na kidini Iran waandikisha majina yao kugombea urais; yumo Rais Rouhani na Raisi
Apr 14, 2017 11:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesajili jina lake kwenye Tume ya Uchaguzi kama mgombea wa duru ya 12 ya uchaguzi wa rais nchini.
-
Ayatullah Siddiqi: Hujuma ya Marekani huko Syria, ni kinyume cha sheria za kimataifa
Apr 14, 2017 10:35Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa, shambulizi la Marekani nchini Syria siku ya Ijumaa iliyopita, linakinzana na sheria zote za kimataifa.
-
Rouhani: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi wa Iran utatuma ujumbe wa umoja na izza kwa ulimwengu
Apr 11, 2017 12:07Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao utawadhihirishia walimwengu namna Jamhuri ya Kiislamu ni taifa lenye izza, umoja na mshikamano.
-
Iran kuandaa uchaguzi wa amani na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi
Apr 11, 2017 03:12Waziri wa Mambo ya Ndani ya Iran amesema uchaguzi ujao wa rais na mabaraza ya Kiislamu ya miji na vijiji utakuwa wa amani, salama, wa kisheria na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.
-
Wagombea urais Iran kuanza kujiandikisha leo
Apr 10, 2017 23:18Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa, wagombea wa duru ya 12 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wataanza kujiandikisha rasmi leo Jumanne.
-
Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa 19 Mei
Mar 22, 2017 03:25Makamu wa Kwanza Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali imejitayarisha kikamilifu kwa ajili ya kuandaa uchaguzii wa rais na uchaguzi mdogo wa bunge tarehe 19 Mei.