Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Tume ya uchaguzi ya Iran yazindua shughuli zake kwa ajili ya uchaguzi wa Mei mwaka huu

    Tume ya uchaguzi ya Iran yazindua shughuli zake kwa ajili ya uchaguzi wa Mei mwaka huu

    Mar 05, 2017 00:46

    Tume ya Uchaguzi ya Iran alasiri ya jana ilianza rasmi shughuli zake katika ufunguzi uliohudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Abdolreza Rahmani Fazli.

  • Rais Rouhani kutetea kiti chake katika uchaguzi wa mwezi Mei, asema si ruhusa vikosi, mali za serikali kutumika katika kampeni

    Rais Rouhani kutetea kiti chake katika uchaguzi wa mwezi Mei, asema si ruhusa vikosi, mali za serikali kutumika katika kampeni

    Feb 26, 2017 12:55

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya bunge amesema kuwa, Rais Hassan Rouhani ameamua kutetea kiti chake katika uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.

  • Rais Rouhani: Uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mbele ya maadui

    Rais Rouhani: Uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mbele ya maadui

    Feb 25, 2017 04:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa uchaguzi ni nguvu kubwa ya Iran ya Kiislamu mkabala wa maadui wake na ameeleza matumaini kwamba, uchaguzi ujao hapa nchini utakuwa na ushindani mkali na kuwaacha bumbuazi maadui na kuwatia matumaini mema marafiki wa Iran kote duniani.

  • Mwanaharakati Zimbabwe asema atachuana na Mugabe uchaguzi wa 2018

    Mwanaharakati Zimbabwe asema atachuana na Mugabe uchaguzi wa 2018

    Feb 19, 2017 04:16

    Kiongozi wa harakati ya malalamiko ya wananchi nchini Zimbabwe ametangaza kuwa atagombea kiti cha rais dhidi ya Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwakani.

  • Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018

    Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018

    Feb 15, 2017 04:29

    Uchaguzi wa Rais na Bunge wa Libya umepangwa kufanyika kufikia mwezi Februari mwaka kesho.

  • Uchaguzi wa rais Somalia kufanyika leo, wagombea 22 wanachuana

    Uchaguzi wa rais Somalia kufanyika leo, wagombea 22 wanachuana

    Feb 08, 2017 00:05

    Uchaguzi wa rais nchini Somalia unafanyika leo ukiwashirikisha wagombea 22 baada ya kuakhirishwa mara kadhaa.

  • Somalia na uchaguzi ulioko mbele yake

    Somalia na uchaguzi ulioko mbele yake

    Feb 01, 2017 00:50

    Baada ya tarehe 8 Februari kutangazwa kuwa ndio siku ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Somalia, Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza kuwa, watu 24 watachuana kuwania kiti hicho cha urais.

  • Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa rais

    Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa rais

    Jan 26, 2017 10:14

    Kwa mara nyingine tena Somalia imetangaza tarehe mpya ya kufanyika uchaguzi wa rais licha ya mji mkuu wa nchi hiyo kutikiswa na shambulizi la kigaidi hapo jana.

  • Pigo la kwanza kwa Joice Mujuru katika uchaguzi mdogo wa bunge nchini Zimbabwe

    Pigo la kwanza kwa Joice Mujuru katika uchaguzi mdogo wa bunge nchini Zimbabwe

    Jan 23, 2017 23:25

    Katika hali ambayo, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesisitiza kuwa, atasimama kuwania tena kiti cha urais katika uchaguzi wa hapo mwakani, vyama vya siasa vya upinzani vya nchi hiyo vinajiandaa kwa ajili ya kukabiliana naye.

  • Mpambano wa mapema baina ya Trump na vyombo vya habari

    Mpambano wa mapema baina ya Trump na vyombo vya habari

    Jan 23, 2017 04:41

    Rais mpya wa Marekani na timu yake wameanza vita na mpambano na vyombo vya habari katika siku hizi za mwanzoni kabisa mwa kushika hatamu za uongozi wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS