Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Gambia yasubiri rais mpya kuiongoza nchi

    Gambia yasubiri rais mpya kuiongoza nchi

    Jan 21, 2017 09:53

    Hatimaye baada ya nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika kutuma wanajeshi wake huko Gambia, Yahya Jammeh ametangaza kuondoka madarakani katika fursa ya mwisho.

  • Juhudi za kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia

    Juhudi za kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia

    Jan 18, 2017 10:01

    Katika kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Gambia, Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo sanjari na kulaani uingiliaji wa kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo, ametangaza hali ya hatari nchini humo.

  • Umoja wa Afrika waitishia Gambia

    Umoja wa Afrika waitishia Gambia

    Jan 14, 2017 09:51

    Mgogoro wa kisiasa nchini Gambia umekuwa tata zaidi katika kukaribia tarehe ya kuapichwa rais mpya wa nchi hiyo. Kuhusiana na suala hilo Umoja wa Afrika (AU) umemtishia Rais wa Gambia kuwa hautamtambua rasmi kuwa rais halali tangu tarehe iliyoanishwa kwa ajili ya kufanyika sherehe za kumuapisha rais mteule wa nchi hiyo.

  • Dakta Shein amjibu Maalim Seif, asema madai yake ni ya kipropaganda

    Dakta Shein amjibu Maalim Seif, asema madai yake ni ya kipropaganda

    Jan 10, 2017 04:48

    Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein amewataka wananchi visiwani humo kuacha kusikiliza kile alichokitaja kuwa maneno ya propaganda kutoka kwa wapinzani kwa kuwa katu hakuna Rais mwingine atakayeongoza Zanzibar wakati yeye yupo madarakani.

  • Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Gambia akimbia nchi baada ya kutishiwa maisha

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Gambia akimbia nchi baada ya kutishiwa maisha

    Jan 04, 2017 03:40

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Gambia amekimbia nchi akihofiwa usalama wake.

  • Makundi ya kisiasa Kongo yafikia muafaka wa kuhitimisha mgogoro nchini humo

    Makundi ya kisiasa Kongo yafikia muafaka wa kuhitimisha mgogoro nchini humo

    Dec 31, 2016 09:31

    Imetangazwa kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo atang'atuka madarakani kabla ya kufanyika uchaguzi ujao hiyo ikiwa ni baada ya kufikiwa muafaka wa kisiasa kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • Kuendelea juhudi za kumshawishi Jammeh akabidhi madaraka kwa amani Gambia

    Kuendelea juhudi za kumshawishi Jammeh akabidhi madaraka kwa amani Gambia

    Dec 28, 2016 23:14

    Mivutano ya kisiasa ya baada ya uchaguzi wa rais nchini Gambia ingali inaendelea huku Mahakama Kuu ya nchi hiyo ikisubiriwa kutangaza uamuzi wake kuhusiana na malalamiko yaliyowasilishwa na Rais Yahya Jammeh ya kupinga matokeo ya uchaguzi huo.

  • Rais mteule wa Gambia amtaka Yahya Jammeh akabidhi madaraka ya nchi kwa amani

    Rais mteule wa Gambia amtaka Yahya Jammeh akabidhi madaraka ya nchi kwa amani

    Dec 28, 2016 04:26

    Rais mteule wa Gambia ambaye alishinda katika uchaguzi wa mwanzoni mwa mwezi huu amemtaka Rais Yahya Jammeh akabidhi madaraka ya nchi kwa amani pindi muhula wake utakapomalizika mwezi ujao.

  • Uchaguzi wa Rais nchini Somalia waakhirishwa kwa mara ya nne

    Uchaguzi wa Rais nchini Somalia waakhirishwa kwa mara ya nne

    Dec 26, 2016 12:47

    Uchaguzi wa Rais nchini Somalia uliokuwa umepangwa kufanyika Jumatano ijayo ya tarehe 28 ya mwezi huu wa Desemba umeakhirishwa tena.

  • Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya

    Indhari ya Odinga juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini Kenya

    Dec 23, 2016 13:14

    Huku vuta nikuvute baina ya serikali na mrengo wa upinzani nchini Kenya kuhusiana na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ukiwa unaendelea, kinara wa muungano wa upinzani wa CORD Raila Odinga ametahadharisha tena juu ya kufanyika uchaguzi usio wa kidemokrasia nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS