-
Viongozi wa kidini Kenya wamtaka Uhuru asiidhinishe marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi
Dec 23, 2016 12:55Viongozi wa kidini nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asisaini muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ambao uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa hapo jana.
-
Mgogoro wa kisiasa Kongo DR wapatiwa ufumbuzi?
Dec 23, 2016 12:54Katika hatua ya ghafla na ambayo haikutazamiwa na wengi, pande hasimu za kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambao utapelekea Rais Joseph Kabila asalie uongozini hadi mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Hali ya kulegalega kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Dec 21, 2016 09:52Sambamba na kumalizika muhula wa kisheria wa uongozi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mji mkuu Kinshasa na miji mingine ya nchi hiyo imeshuhudia taswira ya kuimarisha usalama karibu katika kila kona.
-
Umoja wa Mataifa: Watu 20 wameuawa katika maandamano ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Dec 21, 2016 03:35Mkurugenzi wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, kuna ripoti za kuaminika zinazoonyesha kuwa, watu wasiopungua 20 wameuawa jijijni Kinshasa katika mapambano baina yao na vikosi vya usalama.
-
Waangalizi wa ndani Ghana waidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Bunge na Rais
Dec 19, 2016 10:58Waangalizi wa ndani katika uchaguzi uliopita wa Bunge na Rais katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameunga mkono na kuidhinisha matokeo ya uchaguzi huo.
-
Kuchaguliwa tena Mugabe kugombea urais katika uchaguzi wa 2018 nchini Zimbabwe
Dec 18, 2016 10:37Rais Robert Mugabe wa Zimbambwe amechaguliwa tena kubeba bendera ya chama tawala cha Zanu-PF katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwaka 2018.
-
Uwezekano wa Jammeh kuondolewa kwenye kiti cha urais kwa nguvu za kijeshi
Dec 17, 2016 03:47Rais wa Senegal amesema kuna uwezekano rais wa Gambia kuondolewa kwa nguvu za jeshi katika kiti cha urais baada ya kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi.
-
Timu ya upatanishi yaelekea Gambia kusuluhisha mzozo wa urais
Dec 13, 2016 04:43Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf anaongoza timu ya upatanishi inayotazamiwa kuelekea nchini Gambia hii leo kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa uongozi ulioibuka nchini humo, baada ya Rais Yahya Jammeh kupinga matokoe ya uchaguzi wa rais.
-
Kikao cha viongozi wa IGAD cha kujadili amani ya eneo
Dec 11, 2016 03:38Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ustawi wa Mashariki mwa Afrika IGAD wamekutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kwa kikao cha 29 cha dharura ambacho kimefanyika kwa uenyekiti wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hailemariam Desalegn kujadili amani na uthabiti wa eneo hasa katika nchi za Sudan Kusini na Somalia.
-
Rais mteule Gambia: Jammeh hana mamlaka ya kukataa matokeo ya uchaguzi
Dec 11, 2016 02:29Rais mteule wa Gambia amesema kuwa, Rais Yahya Jammeh ambaye alishindwa katika uchaguzi wa Rais wa Disemba Mosi, hana mamlaka ya kikatiba ya kukataa matokeo ya uchaguzi huo na wala katiba haimruhusu kuitisha uchaguzi mwingine.