-
Yahya Jammeh apinga matokeo ya uchaguzi wa Rais Gambia
Dec 10, 2016 09:22Rais Yahya Jammeh wa Gambia ametangaza kuwa hatambui rasmi matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo Disemba Mosi, ikiwa imepita karibu wiki moja tangu uchaguzi huo ufanyike na mgombea wa muungano wa upinzani kuibuka mshindi.
-
Kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais Ghana, Mahama akubali matokeo
Dec 10, 2016 04:04Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Ghana, Nana Akufo-Addo, ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika Jumatano iliyopita na kumshinda Rais wa sasa John Dramani Mahama.
-
Uchaguzi wa Rais Somalia kufanyika Disemba 28
Dec 09, 2016 10:35Viongozi wa kisiasa nchini Somalia wametangaza tarehe mpya ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo baada ya kuuakhirisha mara tatu sasa.
-
Zoezi la kuhesabu kura Ghana linaendelea; Rais Mahama anaongoza kwa tofauti ndogo
Dec 09, 2016 00:48Zoezi la kuhesabu kura nchini Ghana linaendelea huku taarifa za awali zikionyesha kuwa, mataokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kwamba, Rais John Dramani Mahama anaongoza akifuatiwa kwa karibu na kiongozi wa upinzani Nana Akufo-Addo.
-
Wito wa kufanyika mkutano kati ya chama tawala na kambi ya upinzani Congo DR
Dec 07, 2016 23:37Jumuiya za kiraia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimetoa wito wa kufanyika mkutano baina ya chama tawala na vyama na makundi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Wananchi wa Ghana wapiga kura kumchagua Rais na Wabunge
Dec 07, 2016 10:48Wananchi wa Ghana leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua Rais Mpya na wawakilishi wa bunge.
-
Rais wa Ghana: Upinzani unawashawishi wafuasi wake wasikubali matokeo ya uchaguzi
Dec 07, 2016 00:28Rais John Dramani Mahama wa Ghana amemtuhumu kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo kuwa anawashawishi wafuasi wa chama chake wasikubali matokeo ya uchaguzi wa Rais na Bunge unaofanyika leo nchini humo.
-
Wanaharakati wa Ghana: Uchaguzi unapasa kufanyika katika mazingira ya amani
Dec 05, 2016 11:35Wanaharakati wa kisiasa nchini Ghana wamesisitiza juu ya ulazima wa kufanyika uchaguzi mkuu katika mazingira ya amani.
-
Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon waakhirishwa
Dec 03, 2016 23:46Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi huu wa Desemba umeakhirishwa kutokana na kutokuweko bajeti ya kutosha ya kuendesha zoezi la uchaguzi huo.
-
Mgombea wa upinzani ashinda kiti cha Urais Gambia
Dec 03, 2016 23:41Adama Barrow, mgombea wa muungano wa upinzani nchini Gambia amembwaga Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ambao matokeo yake hayakutarajiwa.