-
UN yasisitiza udharura wa kufanyika mazungumzo DRC
Mar 24, 2016 03:38Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuna udharura wa kufanyika mazungumzo baina ya wanasiasa wa nchi hiyo kwa shabaha ya kukomesha hitilafu za ndani.
-
Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump
Mar 23, 2016 02:57Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi la wenye misimamo iliyofurutu ada’.
-
Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia
Mar 21, 2016 11:45Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imemtangaza mgombea wa kiti cha rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dakta Ali Muhammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.
-
Chaguzi sita zafanyika Afrika leo
Mar 20, 2016 12:39Leo kumekuwa na upigaji kurakatika nchi sita za Afrika yaani nchini Kongo Brazzaville, Benin, Niger, Cape Verde, Visiwani Zanzibar nchini Tanzania na kura ya maoni nchini Senegal.
-
Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi Zanzibar
Mar 20, 2016 12:21Zoezi la kuhesabu kura linaendelea visiwani Zanzibar baada ya uchaguzi kufuatia matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 kufutwa na tume ya uchaguzi ya visiwa hivyo ZEC.
-
Duru ya pili uchaguzi wa rais Niger bila mpinzani
Mar 20, 2016 12:05Duru ya pili ya kiti cha rais nchini Niger imefanyika leo huku kukiwa na hali tete ya usalama na wapinzani wakisusia zoezi hilo na mgombea wa pili akiwa anapata matibabu Ufaransa.
-
Serikali ya Congo Brazzaville yayataka mashirika ya simu kukata mawasiliano wakati wa uchaguzi hapo kesho
Mar 19, 2016 13:16Serikali ya Jamhuri ya Congo Brazzaville imeyataka mashirika mawili makubwa ya simu nchini humo kukata mawasiliano yote wakati wa kufanyika uchaguzi wa Rais hapo kesho.
-
Uchaguzi wa marudio Zanzibar unafanyika kesho Jumapili
Mar 19, 2016 13:13Uchaguzi uliofutwa mwaka jana katika visiwa vya Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Jumapili ya kesho huku Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikitangaza kuwa, maandalizi yote kwa ajili ya uchaguzi huo yamekamilika.
-
CCM: Uchaguzi ni suluhu ya mzozo wa Zanzibar
Mar 19, 2016 04:13Wananchi wa Zanzibar kesho Jumapili wanatazamiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio visiwani humo, ambao utashirikisha wagombea wa urais na wagombea wa ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka vyama mbalimbali.
-
Trump, mgombea urais Marekani atoa vitisho visivo vya kawaida
Mar 17, 2016 23:20Donald Trump, anayewania uteuzi wa chama cha Republican kugombea kiti cha urais Marekani ametishia kuwa, iwapo hatateuliwa na chama hicho, basi watu wasubiri ghasia na machafuko kote Marekani.