Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Serikali ya Niger yatakiwa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kambi ya upinzani

    Serikali ya Niger yatakiwa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kambi ya upinzani

    Mar 13, 2016 23:02

    Jumuiya ya Wafanyakazi ya Niger imeitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti

    Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti

    Mar 06, 2016 14:39

    Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameitaka mamlaka inayohusika kusimamia uchaguzi wa meya wa jiji hilo unaokwama kufanyika kutokana na kuahirishwa mara kwa mara, kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi huo ili jiji hilo limpate kiongozi wake.

  • Kampeni za uchaguzi wa rais Congo Brazzaville

    Kampeni za uchaguzi wa rais Congo Brazzaville

    Mar 06, 2016 03:53

    Wagombea tisa wa kiti cha urais huko Jamhuri ya Kongo wameanza kampeni zao za kuwania kiti cha urais.

  • Rais wa Gabon kuwania muhula wa pili mwaka huu

    Rais wa Gabon kuwania muhula wa pili mwaka huu

    Mar 01, 2016 04:22

    Rais wa Gabon Ali Bongo amesema atawania kuhifadhi kiti chake kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.

  • Mkuu wa tume ya uchaguzi Iran: Hakuna matokeo yoyote yaliyofutwa

    Mkuu wa tume ya uchaguzi Iran: Hakuna matokeo yoyote yaliyofutwa

    Feb 28, 2016 13:01

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna matokeo yoyote ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu yaliyofutwa.

  • Mgombea wa urais Niger ambaye yuko jela kuwania duru ya pili

    Mgombea wa urais Niger ambaye yuko jela kuwania duru ya pili

    Feb 28, 2016 04:26

    Rais wa sasa wa Niger Mahamadou Issoufou anayewania kuongoza kwa muhula wa pili atachuana na mpinzani wake wa karibu Hama Amadou, ambaye yuko kizuizini katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Machi 20 mwaka huu.

  • Larijan: Iran inataka kuona umoja wa kiistrataji miongoni mwa Waislamu

    Larijan: Iran inataka kuona umoja wa kiistrataji miongoni mwa Waislamu

    Feb 28, 2016 04:24

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema moja ya sera za Jamhuri ya Kiislamu ni kuona umoja na mshikamano wa kiistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu unadumishwa.

  • Uchaguzi wa Rais nchini Niger waingia duru ya pili

    Uchaguzi wa Rais nchini Niger waingia duru ya pili

    Feb 28, 2016 04:08

    Uchaguzi wa Rais nchini Niger uliofanyika Jumapili iliyopita na kuwapambanisha wagombea 15 umeingia duru ya pili baada ya kukosekana mshindi katika duru ya kwanza.

  • Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu

    Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu

    Feb 26, 2016 12:45

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.

  • Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran

    Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran

    Feb 25, 2016 22:19

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa maandalizi na taratibu zote za uchaguzi wa kumi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na wa tano Baraza la Wataalamu zimekamilika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS