-
Shamkhani: Uchaguzi wa Iran, nembo ya kuthibiti utawala wa kidini unaotokana na wananchi
Feb 25, 2016 11:59Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni nembo ya kuthibiti utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi.
-
Radiamali ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi
Feb 24, 2016 07:18Uchaguzi katika nchi iliyokumbwa na machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati umemalizika huku kukiwa na hisia tofauti kuhusu uchaguzi huo.
-
Wanasheria wazungumzia kurudiwa uchaguzi Zanzibar
Feb 24, 2016 07:15Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC
-
Wapinzani Niger wakataa matokeo ya awali ya uchaguzi
Feb 24, 2016 04:43Vyama vya upinzani Niger vimepinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais ambayo yalionyesha rais wa sasa Mahammadou Issofou akiongoza.
-
Iran: Hatutaki ushauri wa kigeni juu ya uchaguzi wetu
Feb 23, 2016 04:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni nchi huru isiyohitaji ushauri wa nchi za kigeni juu ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu uliopangwa kufanyika siku ya Ijumaa.
-
Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili
Feb 23, 2016 04:17Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza tarehe 13 Aprili mwaka huu 2016 kuwa siku ya uchaguzi wa bunge nchini humo.
-
Wananchi Niger walalamikia uendeshaji mbovu wa uchaguzi
Feb 22, 2016 04:21Wananchi wa Niger wameilalamikia vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuendesha vibaya uchaguzi.
-
Museveni; mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Uganda
Feb 22, 2016 03:40Tume ya Uchaguzi ya Uganda juzi alasiri ilitangaza kuwa Yoweri Museveni ni Rais Mpya wa nchi hiyo baada ya kushinda zaidi ya asilimia 60 ya kura na hivyo kumshinda mpinzani wake mkuu Dakta Kiiza Besigye.
-
Wananchi wa Niger washiriki uchaguzi wa rais
Feb 21, 2016 12:32Wananchi wa Niger waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, ambayo kwa muda sasa imekuwa ikikabiliwa na shambulio moja baada ya jingine kutoka kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Touadera apata ushindi wa mapema katika uchaguzi wa rais CAR
Feb 19, 2016 23:37Faustin Archange Touadera, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amepata ushindi wa mapema katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumapili iliyopita ya Februari 14.