• Polisi Uganda: Besigye ataachiwa huru baada ya kutangazwa matokeo

    Polisi Uganda: Besigye ataachiwa huru baada ya kutangazwa matokeo

    Feb 19, 2016 11:35

    Polisi nchini Uganda imesema itaendelea kumzuilia mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha FDC, Dakta Kizza Besigye na kwamba huenda akaachiwa huru hapo kesho baada ya matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais na bunge kutangazwa.

  • Mbabazi: Nitaheshimu matokeo kama yatakuwa ya haki

    Mbabazi: Nitaheshimu matokeo kama yatakuwa ya haki

    Feb 19, 2016 04:24

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uganda, Amama Mbabazi amesema atakubali matokeo ya uchaguzi endapo kutakuweko uwazi katika mchakato mzima wa kuhesabu kura.

  • Museveni aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais Uganda

    Museveni aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais Uganda

    Feb 19, 2016 00:08

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Uganda yanaonyesha kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama tawala cha NRM, Yoweri Kaguta Museveni anaongoza kwa kupata kura nyingi zaidi zilizohesabiwa.

  • Kura zaanza kuhesabiwa Uganda, mitandao ya kijamii yafungwa

    Kura zaanza kuhesabiwa Uganda, mitandao ya kijamii yafungwa

    Feb 18, 2016 13:12

    Uchaguzi wa rais na bunge nchini Uganda ambao ulianza saa moja asubuhi leo kwa saa za nchi hiyo katika vituo vingi vya kupiga kura umemalizika saa moja jioni bila kuripotiwa visa vikubwa vya uhalifu na uchakachuaji.

  • Jamii ya kimataifa yatoa wito wa kufanyika mazungumzo kuhusu uchaguzi wa Kongo DR

    Jamii ya kimataifa yatoa wito wa kufanyika mazungumzo kuhusu uchaguzi wa Kongo DR

    Feb 18, 2016 08:40

    Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Lugha ya Kifaransa (Francophone) jana zilitoa taarifa ya pamoja na kuwataka wanaharakati wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanza mazungumzo mapana ya kisiasa haraka iwezekakanavyo kuhusu suala la kufanyika uchaguzi nchini humo.

  • EC yaonya wenye nia ya kuvuruga uchaguzi  Uganda

    EC yaonya wenye nia ya kuvuruga uchaguzi Uganda

    Feb 17, 2016 22:42

    Tume ya uchaguzi nchini Uganda imewaonya vikali wenye nia ya kuvuruga zoezi la upigaji kura linalofanyika leo (Alkhamisi) na kusisitiza kuwa, watu wa aina hiyo watachukuliwa hatua kali za kisheria. Tume hiyo pia imesisitiza kuwa uchaguzi wa leo nchini Uganda utakuwa huru na wa haki.

  • Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu

    Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu

    Feb 17, 2016 22:41

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia amesema, viongozi wa baadhi ya majimbo nchini humo wamekubaliana na pendekezo la serikali kuu la kufanyika uchaguzi mwezi Julai mwaka huu.

  • Kampeni  zamalizika Uganda, uchaguzi Alkhamisi

    Kampeni zamalizika Uganda, uchaguzi Alkhamisi

    Feb 17, 2016 03:33

    Nchini Uganda kampeni za uchaguzi zilimalizika Jumanne huku wagombea wa viti vya urais na ubunge wakijitayarisha kwa ajili ya upigaji kura siku ya Alkhamisi.

  • Serikali yazidi kuwabana wapinzani nchini Uganda

    Serikali yazidi kuwabana wapinzani nchini Uganda

    Feb 15, 2016 11:56

    Huku siku chache tu zikiwa zimebakia hadi kufanyika uchaguzi mkuu wa Februari 18 nchini Uganda, polisi ya nchi hiyo leo imemtia mbaroni na baadaye kuwachia Daktari Kizza Besigye, kiongozi wa chama cha upinzani cha cha FDC. Besigye amekamatwa na polisi wakati alipokuwa anakwenda kwenye mkutano wa hadhara katika wilaya yenye shughuli nyingi, jijini Kampala.

  • Tume: Uchaguzi nchini CAR umefanyika kwa amani

    Tume: Uchaguzi nchini CAR umefanyika kwa amani

    Feb 15, 2016 11:56

    Uchaguzi Mkuu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati umefanyika katika mazingira ya utulivu na amani.