-
Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 04:08Serikali ya Russia imeyaonya madola ya Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika uchaguzi wa rais.
-
Kuendelea radiamali ya mashirika ya haki za binadamu kuhusiana na udikteta wa uchaguzi nchini Misri
Feb 14, 2018 09:06Katika radiamali ya hivi karibuni kabisa ya mashirika ya kimataifa kuhusiana na mchakato wa uchaguzi wa Rais nchini Misri, asasi na juumuiya kadhaa za haki za binadamu likiwemo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch na waandishi wa habari wasio na mipaka zimetangaza kuwa, uchaguzi huo hauna hata vigezo vya chini kabisa vya kufanyika zoezi la upigaji kura katika mazingira ya wazi na huru.
-
Mashirika ya kutetea haki yautaja uchaguzi ujao wa Misri kama kichekesho
Feb 13, 2018 23:51Mashirika 14 ya kieneo na kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameutaja uchaguzi ujao wa rais nchini Misri kama mchezo wa kuigiza.
-
Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati
Feb 08, 2018 04:23Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.
-
Wanasiasa Misri kususia uchaguzi wa rais
Jan 30, 2018 13:06Makumi ya wanaharakati wa kisiasa wa Misri wametia saini taarifa ya kususia uchaguzi ujao wa rais nchini humo wakisema kuwa, hautakuwa na sifa za awali kabisa za uchaguzi huru na wa haki.
-
Al-Sisi asafishiwa njia kutetea kiti cha urais baada ya wapinzani wake kutiwa mbaroni au kujitoa
Jan 25, 2018 03:58Mpinzani wa Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ujao wa Rais ametangaza kujitoa katika mbio hizo hatua ambayo inamsafishia njia Rais wa sasa wa nchi hiyo kutetea kiti chake.
-
Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais
Jan 24, 2018 11:09Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameahidi kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais kabla ya Julai mwaka huu na kwamba ataheshimu uamuzi wa wananchi.
-
Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili
Jan 18, 2018 11:00Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema hajui iwapo atagombea muhula wa pili wa uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2019 au la.
-
Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu
Jan 11, 2018 00:29Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kuisaidia Libya katika maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2018.
-
Ra'ad al Hussein hatagombea tena ukamishna wa haki za binadamu UN, sababu ni Marekani
Jan 11, 2018 00:28Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra’ad al-Hussein amejiengua katika kinyang'anyiro cha kugombea tena kiti hicho akilalamikia ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Marekani.