-
Aal Saud wapinga maagizo ya kiimla ya Marekani kuhusu siasa zao za kigeni
Jun 11, 2023 04:25Vyanzo vya Marekani vimetangaza kuwa Saudi Arabia imekataa maombi ya Washington ya kuitaka ijitenge na China pamoja na Russia na kusisitiza juu ya kuendeleza siasa zake huru za kigeni.
-
Aal Saud na corona ya kisiasa
Mar 24, 2020 02:34Saudi Arabia ni miongoni mwa nchi zinazoutumia kisiasa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na kirusi cha corona.
-
Kufutwa kazi makamanda wa juu wa jeshi nchini Saudia; matokeo ya vita vya madaraka na kushindwa kijeshi Aal Saud
Feb 28, 2018 01:25Jumatatu ya juzi tarehe 26 Februari, Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdu Aziz aliendelea kufanya mabadiliko ya nyadhifa za juu za uongozi nchini humo ambapo aliwafuta kazi maafisa kadhaa wa ngazi za juu jeshini.
-
Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud
Jul 16, 2017 12:19Katika hali ambayo njama za utawala haramu wa Israel dhidi ya Masjidul-Aqsa zimeshika kasi katika siku za hivi karibuni, habari zinaripoti kuwepo harakati za utawala wa Aal-Saud kwa ajili ya kuiandalia mazingira Israel iweze kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.
-
Kiongozi wa chama cha Leba Uingereza: Simamisheni uuzaji silaha kwa Saudia
Jun 30, 2017 04:03Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kusimamishwa uuzaji wa silaha kwa utawala wa Saudi Arabia kutokana na utawala huo kuendeleza mauaji dhidi ya raia wa Yemen.
-
Maafa ya Mina (8) Mwisho
Sep 08, 2016 16:27Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Natumai hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan hapo nyumbani Afrika Mashariki.
-
Maafa ya Mina (7)
Sep 08, 2016 09:48Huu ni mfululizo wa makala maalumu ambazo zinaangazia maafa ya kusikitisha yaliyojiri katika eneo la Mina mwaka jana wakati wa Ibada ya Hija. Hii ni sehemu ya saba ya mfululizo huu.
-
Maafa ya Mina (6)
Sep 08, 2016 09:48Huu ni mfululizo wa makala hizi maalumu ambazo zinaangazia maafa ya kusikitisha yaliyojiri katika eneo la Mina mwaka jana wakati wa Ibada ya Hija.
-
Maafa ya Mina (2)
Sep 04, 2016 14:35Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka maafa yaliyotokea katika msimu wa Hija wa mwaka uliopita wa 2015 katika eneo la Mina katika ardhi tukufu ya Makka yaliyosababisha maelfu ya mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah kupoteza maisha yao.
-
Ansarullah: Jinai za kinyama za Aal Saud huko Yemen ni ishara ya kushindwa Wasaudia
Aug 17, 2016 07:18Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amelaani jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Aal Saud kwa kubomoa mahospitali na nyumba za raia wa Yemen na kuzitaja jinai hizo kuwa ni ishara ya kushindwa Wasaudia.