-
Kustawisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za Kiafrika ni katika vipaumbele vya Iran
Aug 06, 2022 07:03Hamid Forozan Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Ushirikiano, Kazi na Ustawi wa Jamii ya Iran amesisitiza kuwa, uwezo wa nchi za Kiafrika umeandaa msingi mzuri wa kustawisha biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
WHO: Umri wa mtu kuishi, tena akiwa na afya Afrika umeongezeka
Aug 05, 2022 03:02Shirika la Afya Duniani, WHO limesema umri wa mtu kuishi barani Afrika, tena akiwa na afya bora umeongezeka kwa wastani wa miaka 10 kwa mtu mmoja kati ya mwaka 2000 na 2019, ikiwa ni ongezeko kubwa kuliko ukanda mwingine wa shirika hilo duniani katika kipindi hicho hicho; na sababu ni pamoja na kuimarika huduma za mama na mtoto.
-
Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi
Jul 28, 2022 02:55Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko barani Afrika katika safari yake ya kwanza ya kikazi baada ya kuanza muhula wake wa pili kama rais wa nchi hiyo.
-
Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne
Jul 27, 2022 08:45Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Russia ni rafiki mkubwa wa Afrika na imekuwa ikiunga mkono harakati za kupambana na ukoloni za mataifa ya bara hilo kwa zaidi ya miaka mia moja.
-
Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda
Jul 26, 2022 07:04Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika.
-
Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya
Jul 26, 2022 02:03Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.
-
Lavrov: Russia na Afrika zinataka kupunguza matumizi ya Dola katika biashara zao
Jul 22, 2022 22:41Russia na washirika wake wa Kiafrika wanajaribu kupunguza hatua kwa hatua utumiaji wa sarafu ya dola ya Marekani na euro katika miamala ya kibiashara ya pande zote.
-
Jumatano tarehe 29 Juni 2022
Jun 28, 2022 21:47Leo ni Jumatano tarehe 29 Dhulqaada 1443 Hijria sawa na Juni 29 mwaka 2022.
-
Nchi 8 za Afrika miongoni mwa 39 duniani zilizoripoti Monkeypox
Jun 19, 2022 23:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 8 za Afrika ni miongoni mwa nchi 39 duniani zilizoripoti kesi zilizothibitishwa za ugonjwa wa Monkeypox.
-
Rais wa AfDB atahadharisha: Janga la uhaba mkubwa wa chakula linainyemelea Afrika
Jun 04, 2022 07:12Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) amesema, vita kati ya Russia na Ukraine vitasababisha matatizo mengi katika kudhamini chakula kwa ajili ya wakazi wa bara hilo.