Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran

    Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran

    Jun 01, 2022 03:37

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Tehran.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kuimarishwa uhusiano na Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kuimarishwa uhusiano na Afrika

    May 23, 2022 02:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini na kusema: "Iran haina vizingiti vyovyote katika kustawisha uhusiano na Afrika Kusini na hasa serikali mpya ina azma ya kuimarisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika."

  • Guinea Conakry yaainisha muhula wa kipindi cha mpito cha miezi 36

    Guinea Conakry yaainisha muhula wa kipindi cha mpito cha miezi 36

    May 12, 2022 03:42

    Baraza la Taifa la Guinea la The Rally for Development (CNRD) limetangaza kipindi cha serikali ya mpito nchini humo kuelekea katika utawala wa kiraia kwa muda wa miaka mitatu au miezi 36.

  • Wizara ya Mambo ya Nje: Usafirishaji wa bidhaa za Iran Afrika umeongezeka kwa 120%

    Wizara ya Mambo ya Nje: Usafirishaji wa bidhaa za Iran Afrika umeongezeka kwa 120%

    May 10, 2022 22:11

    Mkuu wa Idara ya Magharibi na Katikati mwa Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, usafirishaji wa bidhaa kuelekea nchi za bara la Afrika umeongezeka kwa asilimia 120.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro mkubwa wa chakula Afrika

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro mkubwa wa chakula Afrika

    May 07, 2022 22:13

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kupanda pakubwa bei ya chakula na mafuta kutokana na vita vya Ukraine, kumeibua mgogoro mkubwa wa chakula barani Afrika ambao haujawahi kushuhudiwa.

  • Ugonjwa wa Surua waongezeka barani Afrika

    Ugonjwa wa Surua waongezeka barani Afrika

    May 03, 2022 06:21

    Taarifa zinasema kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la ugonjwa wa surua barani Afrika tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022.

  • Nchi za Afrika Magharibi zakubaliana kuhusu mkakati wa hali ya hewa

    Nchi za Afrika Magharibi zakubaliana kuhusu mkakati wa hali ya hewa

    May 01, 2022 06:39

    Viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) wamekubaliana kuhusu stratijia ya kikanda kwa ajili ya kushughulikia ongezeko la joto duniani katika kipindi cha miaka kumi ijayo.

  • IMF: Ongezeko la bei ya chakula na mafuta litachochea machafuko ya kijamii Afrika

    IMF: Ongezeko la bei ya chakula na mafuta litachochea machafuko ya kijamii Afrika

    Apr 29, 2022 22:19

    Mfuko wa Fedha Duniani (IMF) umetahadharisha kuwa, kupanda kwa bei ya chakula na mafuta kutokana na vita vinavyoendelea huko Ukraine kunaweza kusababisha machafuko ya kijamii barani Afrika.

  • Chanjo ya Malaria imewafikia zaidi ya watoto milioni moja barani Afrika

    Chanjo ya Malaria imewafikia zaidi ya watoto milioni moja barani Afrika

    Apr 22, 2022 03:31

    Watoto zaidi ya milioni moja huko Ghana, Kenya na Malawi tayari wamepata dozi ya chanjo ya kwanza ya kujilinda na ugonjwa wa malaria isiyopungua moja.

  • Uingereza yakosolewa kwa mpango wake ulio dhidi ya binadamu wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi

    Uingereza yakosolewa kwa mpango wake ulio dhidi ya binadamu wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi

    Apr 17, 2022 21:57

    Kufuatia kuongezeka idadi ya wakimbizi wanaoingia Uingereza kutoka nchi mbali mbali duniani, wakuu wa London wamechukua hatua kali kuzuia wimbi hilo ambapo sasa wanaoingia nchini humo kama wakimbizi watahamishiwa Rwanda huku faili zao zikichunguzwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS