Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuongezeka mgogoro wa chakula barani Afrika

    Umoja wa Mataifa waonya juu ya kuongezeka mgogoro wa chakula barani Afrika

    Apr 11, 2022 22:31

    Wakati machafuko ya kisiasa na kiuchumi yakiongezeka na janga la Covid-19 likiendelea, Umoja wa Mataifa umeonya katika ripoti yake ya karibuni juu ya hatari ya mgogoro wa chakula, haswa katika nchi za Kiafrika.

  • Euro bilioni 1.8 zakusanywa kwa ajili ya kupambana na njaa Afrika Magharibi

    Euro bilioni 1.8 zakusanywa kwa ajili ya kupambana na njaa Afrika Magharibi

    Apr 08, 2022 22:00

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, Euro bilioni 1.8 zimekusanywa kwa ajili ya kupambana na janga la njaa Afrika Magharibi.

  • Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi

    Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi

    Apr 02, 2022 22:24

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina azma thabiti na imejitolea kwa dhati kuona bara la Afrika linafanikiwa na kustawi.

  • Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mar 29, 2022 22:30

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) ambayo ni mkopeshaji mkubwa barani humo anafanya kila awezalo kuzuia bara la Afrika lisikabiliwa na mgogoro wa chakula kutokana na athari mbaya za vita vya Rusia na Ukraine.

  • Zemmour: Nitawafukuza wahajiri wa Afrika nikichaguliwa kuwa rais wa Ufaransa

    Zemmour: Nitawafukuza wahajiri wa Afrika nikichaguliwa kuwa rais wa Ufaransa

    Mar 24, 2022 22:00

    Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour amesema atawafukuza malaki ya wahamiaji wa Kiafrika, iwapo atachaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo ya Ulaya mwezi ujao.

  • UN: Watu milioni 500 hawana usalama wa maji barani Afrika

    UN: Watu milioni 500 hawana usalama wa maji barani Afrika

    Mar 22, 2022 01:58

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni 500 katika nchi 19 za bara Afrika wanasumbuliwa na ukosefu wa maji safi na salama.

  • Sierra Leone: Si haki Afrika kutowakilishwa katika Baraza la Usalama la UN

    Sierra Leone: Si haki Afrika kutowakilishwa katika Baraza la Usalama la UN

    Mar 13, 2022 04:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sierra Leone ametoa mwito wa kupewa nchi ya Kiafrika uanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Kwa akali watu 17 wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Darfur, Sudan

    Kwa akali watu 17 wauawa katika mapigano ya makundi hasimu Darfur, Sudan

    Mar 11, 2022 20:33

    Kwa akali watu 17 wameuawa huko Darfur magharibi mwa Sudan baada ya kuibuka mapigano baina ya makundi mawili hasimu.

  • Afrika Kusini yataka Afrika itumie sarafu moja itakayoimarisha biashara

    Afrika Kusini yataka Afrika itumie sarafu moja itakayoimarisha biashara

    Mar 11, 2022 04:41

    Afrika Kusini imesema inaunga mkono wazo la kuanzisha sarafu moja ambayo itapiga jeki miamala ya kibiashara miongoni mwa nchi za bara hilo.

  • Karibu watoto milioni tatu kupata chanjo ya polio Malawi

    Karibu watoto milioni tatu kupata chanjo ya polio Malawi

    Mar 04, 2022 23:23

    Madaktari na wauguzi watatoa chanjo za kujikinga na ugonjwa wa polio kwa watoto wasiopungua milioni 2.9 huko Malawi. Hayo yameelezwa na Umoja wa Mataifa baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu kuugua ugonjwa huo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Lilongwe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS