Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Rais wa Guinea-Bissau: Kinara wa dawa za kulevya amehusika na mapinduzi yaliyofeli

    Rais wa Guinea-Bissau: Kinara wa dawa za kulevya amehusika na mapinduzi yaliyofeli

    Feb 11, 2022 23:27

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo, amemshutumu mkuu wa zamani wa jeshi la wanamaji anayehusishwa na biashara ya dawa za kulevya na washirika wake wawili kuwa walihusika na mapinduzi yaliyoshindwa mapema mwezi huu.

  • WHO: Kesi za Corona Afrika ni mara saba zaidi ya ilivyoripotiwa

    WHO: Kesi za Corona Afrika ni mara saba zaidi ya ilivyoripotiwa

    Feb 10, 2022 23:01

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kesi za maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika ni mara saba zaidi ya kesi zilizoripotiwa rasmi kufikia sasa katika nchi za bara hilo.

  • Tahadhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya eneo la Pembe ya Afrika

    Tahadhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya eneo la Pembe ya Afrika

    Feb 09, 2022 23:27

    Huku mizozo ya kisiasa na kijamii ikiendelea katika ukanda wa Afrika Mashariki, nchi nyingi za kanda hiyo zinakabiliwa na ukame mkubwa; na ambamba na hayo Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa ukame umesababisha takriban watu milioni 13 katika Pembe ya Afrika kukumbwa na njaa.

  • WFP: Mamilioni wanakabiliwa na njaa Pembe ya Afrika

    WFP: Mamilioni wanakabiliwa na njaa Pembe ya Afrika

    Feb 08, 2022 09:21

    Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 13 katika eneo la Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali. Hayo yameelezwa leo Jumanne na Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP).

  • FAINALI YA AFCON 2022, FEB 7

    FAINALI YA AFCON 2022, FEB 7

    Feb 07, 2022 03:43

    Hujambo mpenzi mwanaspoti natumai u mzima wa afya. Kipindi chetu cha leo kitaangazia tu kumalizika kwa mashindano ya soka ya mataifa ya Afrika (AFCON) 2022 yaliyofanyika huko Cameroon....karibu....

  • Wapalestina wautaka Umoja wa Afrika kuifukuza Israel katika umoja huo

    Wapalestina wautaka Umoja wa Afrika kuifukuza Israel katika umoja huo

    Feb 05, 2022 10:47

    Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.

  • Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini

    Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini

    Feb 05, 2022 01:08

    Afrika Kusini imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya aina mpya ya spishi ya kirusi cha Corona cha Omicron, iliyopewa jina la kitaalamu la BA.2.

  • Ujumbe wa ECOWAS wawasili Burkina Faso na kukutana wanajeshi wafanyamapinduzi

    Ujumbe wa ECOWAS wawasili Burkina Faso na kukutana wanajeshi wafanyamapinduzi

    Jan 30, 2022 08:55

    Ujumbe wa wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS umewasili nchini Burkina Faso na kukutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa baraza la wanajeshi walioongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo.

  • Amir Abdollahian asisitiza kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Amir Abdollahian asisitiza kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Jan 25, 2022 11:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza suala la kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika na kustawishwa ushirikiano wa pande zote katika sekta mbalimbali kwa maslahi ya pamoja na nchi ya Togo.

  • Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika utaimarishwa zaidi

    Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika utaimarishwa zaidi

    Jan 24, 2022 10:36

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS