-
Chaguzi sita zafanyika Afrika leo
Mar 20, 2016 12:39Leo kumekuwa na upigaji kurakatika nchi sita za Afrika yaani nchini Kongo Brazzaville, Benin, Niger, Cape Verde, Visiwani Zanzibar nchini Tanzania na kura ya maoni nchini Senegal.
-
Mkutano wa kwanza wa Qur'ani wafunguliwa Senegal
Mar 17, 2016 04:41Mkutano wa kwanza wa Qur'ani huko magharibi mwa Afrika umefunguliwa nchini Senegal.
-
Uhusiano wa Iran na Afrika mwaka moja uliopita
Mar 17, 2016 03:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki maalumu ambacho kitaangazia kwa kifupi baadhi ya nukta kuhusu uhusiano wa Iran na nchi za Afrika katika kipindi cha mwaka moja uliopita.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
Mar 16, 2016 23:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine imesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.
-
Takwa la kupambana na miamala haramu ya kifedha barani Afrika
Mar 14, 2016 23:32Rais Macky Sall wa Senegal ametoa wito wa kuanzishw amapambano dhidi ya miamala haramu ya kifedha barani Afrika.
-
UN yapasisha azimio la kuwarejesha nyumbani askari wake ‘wabakaji’
Mar 12, 2016 11:49Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linalotaka kurejeshwa nyumbani kikosi cha kulinda amani cha umoja huo, ambacho askari wake wanatuhumiwa kuhusika na vitendo vya ubakaji.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kodivaa
Mar 12, 2016 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuimarisha uhusiano wake na Ivory Coast katika nyanja mbali mbali.
-
EAC yapata Katibu Mkuu mpya
Mar 02, 2016 23:38Mwanadiplomasia wa Burundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Viongozi wa nchi 5 za jumuiya hiyo mbali na kuidhinisha uanachama wa Sudan Kusini pia wamemteua Liberat Mfumukeko kuchukua nafasi ya Dkt. Richard Sezibera ambaye anamaliza muda wake.
-
Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba
Feb 27, 2016 22:59Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.
-
Sisitizo la nchi za Afrika juu ya kuvutia uwekezaji kwa ajili ya kuimarisha vyanzo vya maji
Feb 27, 2016 03:11Kongamano la 18 la viongozi wa bara la Afrika kwa ajili ya maji (AFWA) lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, limetaka kuwepo uwekezaji mpya kwa ajili ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji maji barani humo.