-
Waafrika wataka uwekezaji zaidi katika sekta ya maji
Feb 26, 2016 00:11Viongozi wa nchi za Kiafrika wametoa wito wa kuwekeza zaidi katika sekta ya maji ili kurahisisha upatikanaji wa maji barani humo.
-
Wasiwasi kuhusu kuenea umasikini Afrika
Feb 25, 2016 08:16Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema umasikini ni adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu barani Afrika.
-
Kabila: Umaskini ni adui mkubwa wa Afrika
Feb 24, 2016 22:45Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa umaskini ndio adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu ya Afrika.
-
Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi
Feb 22, 2016 04:22Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
Feb 18, 2016 21:57Karibu wakimbizi 130,000 kutoka Burundi wameingia Tanzania kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya nchi yao.
-
Nigeria yatahadharisha kuhusu kuzidi kupenya kundi la Boko Haram barani Afrika
Feb 15, 2016 21:37Mkuu wa Kituo cha Upashaji Habari cha Taifa cha Nigeria ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujitanua kundi la Boko Haram barani Afrika.
-
Rais wa Ghana awasili Iran
Feb 13, 2016 22:21Rais John Dramani Mahama wa Ghana amewasili Tehran kwa ziara rasmi ambapo anatazamiwa kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini.
-
Wanawake na watoto, wahanga wakuu wa migogoro ya Afrika
Feb 13, 2016 11:52Wanawake na watoto wametajwa kuwa ndiyo wahanga wakuu wa migogoro inayozikumba nchi kadhaa za Afrika.
-
Taathira ya Mapinduzi ya Kiislamu imeenea Afrika
Feb 10, 2016 11:53Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamepelekea kuwepo mwamko wa Kiislamu miongoni mwa watu wengi Afrika na hivyo kuwawezesha kuondoka katika mkwamo.
-
Unicef yatahadharidha kuhusu kuendelea kwa vita barani Afrika
Feb 09, 2016 11:29Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetahadharisha kuhusu wimbi jipya la kutumiwa watoto wadogo na kuendelea vita katika nchi kadhaa za Kiafrika.