Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Nigeria na Afrika Kusini zavutana kwa kifo cha raia katika seli za polisi

    Nigeria na Afrika Kusini zavutana kwa kifo cha raia katika seli za polisi

    Jul 09, 2026 11:36

    Polisi ya Afrika Kusini imethibitisha kuwa kifo cha raia wa Nigeria akiwa korokoroni hakikutokana na maandamano dhidi ya wahamiaji wa kigeni nchini humo yaliyofanyika wiki iliyopita.

  • Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo

    Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo

    Jun 30, 2026 03:42

    Afrika Kusini inakabiliwa na mtihani mkubwa wa kiusalama baada ya magenge ya wahalifu kuapa kuwatimu raia wa kigeni nchini humo kuanzia leo.

  • Afrika Kusini yaapa kukabiliana vikali na ukatili dhidi ya wahamiaji

    Afrika Kusini yaapa kukabiliana vikali na ukatili dhidi ya wahamiaji

    Jun 26, 2026 11:10

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameapa kukabiliana na jaribio lolote la kuyumbisha taifa wakati wa maandamano yaliyopangwa kufanywa wiki ijayo dhidi ya wahamiaji, huku wimbi la chuki dhidi ya wageni lizidi kuongezeka nchini humo.

  • Serikali ya Afrika Kusini yasema imewarejesha nyumbani wageni 2,745 ndani ya wiki moja

    Serikali ya Afrika Kusini yasema imewarejesha nyumbani wageni 2,745 ndani ya wiki moja

    Jun 15, 2026 12:20

    Afrika Kusini imewarejesha nyumbani wageni 2,745 katika wiki moja baada ya Rais Cyril Ramaphosa kuapa kuchukua hatua kali dhidi ya uhamiaji haramu.

  • Ripoti: Watu 12 wauawa na 9 kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi katika kitongoji cha Johannesburg

    Ripoti: Watu 12 wauawa na 9 kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi katika kitongoji cha Johannesburg

    Jun 10, 2026 10:46

    Watu 12 wameuawa na wengine 9 kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi katika makazi yasiyo rasmi katika kitongoji cha Cleveland jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

  • Ramaphosa: Waafrika Kusini si wachukia wageni

    Ramaphosa: Waafrika Kusini si wachukia wageni

    Jun 05, 2026 02:57

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemweleza mwenzake wa Kenya, Rais William Ruto, kwamba maandamano ya hivi karibuni dhidi ya uhamiaji haramu nchini humo hayamaanishi kuwa Waafrika Kusini wana chuki dhidi ya wageni.

  • Kundi la kwanza la Waghana lawasili Accra baada ya kurejeshwa kutoka Afrika Kusini

    Kundi la kwanza la Waghana lawasili Accra baada ya kurejeshwa kutoka Afrika Kusini

    May 28, 2026 11:55

    Kundi la kwanza la karibu Waghana 300 waliorudishwa kutoka Afrika Kusini kutokana na hujuma za kupinga wahamiaji, liliwasili Accra jana Jumatano.

  • Kwa nini mashambulizi dhidi ya wageni yanaongezeka Afrika Kusini?

    Kwa nini mashambulizi dhidi ya wageni yanaongezeka Afrika Kusini?

    May 23, 2026 12:20

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeonya kuhusu wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini huku makundi yanayopinga wahamiaji na wageni nchini humo yakiendelea kuandamana na kushajiiisha vitendo vya kuwalenga raia wa kigeni wakiwemo Wazimbabwe.

  • Waziri: Marekani haiwezi kuizuia Afrika Kusini kushiriki  kwenye kikao cha G20

    Waziri: Marekani haiwezi kuizuia Afrika Kusini kushiriki kwenye kikao cha G20

    May 18, 2026 04:30

    Waziri wa Afrika Kusini wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ronald Lamola, amesema Marekani haiwezi kuizuia nchi yake kushiriki kwenye Mkutano wa kilele wa nchi za G20 mwezi Desemba, akisisitiza kuwa nchi hiyo ni mwanachama mwanzilishi.

  • Ghana kuwarejesha nyumbani mamia ya raia walioko Afrika Kusini

    Ghana kuwarejesha nyumbani mamia ya raia walioko Afrika Kusini

    May 13, 2026 12:05

    Ghana imetangaza kwamba imeanzisha mchakato wa kuwahamisha takriban raia wake 300 kutoka Afrika Kusini kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya wageni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS