Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Larijani: Iran imeandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza nchini

    Larijani: Iran imeandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza nchini

    Oct 22, 2019 00:38

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mchakato wa kuandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza hapa nchini umekamilika na kusisitiza kwamba, uhusiano wa pande mbili unahitaji kupigwa jeki katika ushirikiano wa kiuchumi.

  • Zarif: Ulaya imeshindwa kutekeleza majukumu yake ndani ya JCPOA

    Zarif: Ulaya imeshindwa kutekeleza majukumu yake ndani ya JCPOA

    Oct 16, 2019 22:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeshindwa kutekeleza majukumu yake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na iwapo pande husika katika makubaliano hayo hazitayatekeleza, Iran itachukua hatua za dharura za kupunguza utekelezaji wa mapatano hayo ya nyuklia.

  • UN: Watu 1,500 wakimbia mauaji na hujuma dhidi ya wageni Afrika Kusini

    UN: Watu 1,500 wakimbia mauaji na hujuma dhidi ya wageni Afrika Kusini

    Sep 21, 2019 02:48

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa raia wa kigeni zaidi ya 1,500 wanaoishi Afrika Kusini wamekimbia makazi yao kwa kuhofia mashambulizi yanayowalenga wageni hususan raia wa nchi za Kiafrika wanaoishi nchini humo.

  • Ramaphosa atangaza mpango wa kuwalinda wanawake wa Afrika Kusini

    Ramaphosa atangaza mpango wa kuwalinda wanawake wa Afrika Kusini

    Sep 19, 2019 21:57

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza sababu zilizomfanya aitishe kikao maalumu cha Bunge akisisitiza kuwa, mgogoro wa kuteswa na kunyanyaswa kupindukia wanawake nchini humo ndiko kulikomlazimisha aitishe kikao hicho.

  • Ramaphosa aziomba radhi nchi zilizoathirika na chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

    Ramaphosa aziomba radhi nchi zilizoathirika na chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

    Sep 18, 2019 03:19

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametuma wajumbe katika nchi kadhaa za Kiafrika ambazo raia wake waliathirika zaidi na hujuma na mashambulio ya chuki dhidi ya raia wa kigeni kutoka Afrika akiziomba radhi serikali na wananchi wa nchi hizo.

  • Waafrika Kusini wajiunga na wageni katika maandamano ya kulaani 'xenophobia'

    Waafrika Kusini wajiunga na wageni katika maandamano ya kulaani 'xenophobia'

    Sep 15, 2019 02:50

    Wananchi wazalendo wa Afrika Kusini wamejiunga na raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini humo, katika maandamano ya kulaani ghasia na mauaji yanayowalenga raia wa kigeni hususan Waafrika wanaoishi nchini humo.

  • Polisi Afrika Kusini: Kiwango cha mauaji nchini kinatisha

    Polisi Afrika Kusini: Kiwango cha mauaji nchini kinatisha

    Sep 12, 2019 22:07

    Polisi nchini Afrika Kusini imeeleza wasiwasi wake kutokana na kukithiri kwa kiwango cha mauaji ya kiholela nchini humo.

  • Mamia ya raia wa Nigeria warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini, Xenophobia yaendela kuchoche ghasia

    Mamia ya raia wa Nigeria warejea nyumbani kutoka Afrika Kusini, Xenophobia yaendela kuchoche ghasia

    Sep 12, 2019 02:31

    Mamia ya raia wa Nigeria waondoka nchini Afrika Kusini na kureje nchini kwao wiki moja baada ya kushadidi ghasia na mauaji yanayowalenga raia wa kigeni hususan Waafrika wanaoishi nchini humo.

  • Mamia ya raia wa Nigeria wanaoishi Afrika Kusini kurejeshwa nyumbani

    Mamia ya raia wa Nigeria wanaoishi Afrika Kusini kurejeshwa nyumbani

    Sep 10, 2019 03:11

    Serikali ya Nigeria inatazamiwa kuanza kuwarejesha nyumbani mamia ya raia wake wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia wimbi la ghasia na mashambulizi yaliowalenga wageni katika nchi hizo mbili.

  • Nigeria kumrudisha nyumbani balozi wake baada ya Afrika Kusini kufunga balozi zake nchini Nigeria

    Nigeria kumrudisha nyumbani balozi wake baada ya Afrika Kusini kufunga balozi zake nchini Nigeria

    Sep 05, 2019 21:58

    Mgogoro wa kidiplomasia umezuka baina ya Afrika Kusini na Nigeria baada ya magenge ya watu kushambulia wageni huko Afrika Kusini, na matokeo yake wananchi wa Nigeria nao kushambulia vituo vya biashara vinavyomilikiwa na raia wa Afrika Kusini nchini mwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS