-
Afrika Kusini yakiri: "Afrophobia" inahusika katika hujuma zinazowalenga raia wa kigeni
Sep 05, 2019 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa tabia ya kujichukulia sheria mkononi dhdi ya raia wa nchi nyingine za Afrika wanaoishi nchini humo ni moja kati ya sababu za mashambulizi na hujuma zinazowalenga wafanyabiashara wa nchi za kigeni katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Wanigeria wenye hasira walipiza kisasi, wapora maduka ya Waafrika Kusini
Sep 05, 2019 00:09Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni huko Johannesburg, Afrika Kusini yameibua hasira kote barani Afrika ambapo maduka yanayomilikiwa na mashirika ya Afrika Kusini yameporwa nchini Nigeria.
-
Watanzania waandamana mbele ya ubalozi wa A. Kusini, wataka ndege ya ATCL irejeshwe
Aug 28, 2019 07:52Umati wa watu umeandamana leo nje ya ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakishinikiza mahakama ya nchi hiyo iachie huru ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) inayoshikiliwa nchini Afrika Kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu mtu ajulikanaye kama Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.
-
Afrika Kusini yapiga marufuku bendera ya zama za utawala wa ubaguzi wa rangi
Aug 21, 2019 20:42Mahakama moja nchini Afrika Kusini imetoa hukumu ya kupiga marufuku kuonyeshwa hadharani bendera ya utawala uliopinduliwa wa ubaguzi wa rangi (apartheid) nchini humo.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini
Aug 15, 2019 02:46Akizungumza na Balozi iwa Afrika Kusini mjini Tehran, Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za bara la Afrika na khususan Afrika Kusini.
-
Chama tawala nchini Afrika Kusini chalaani mashambulio dhidi ya polisi mjini Johannesburg
Aug 04, 2019 03:19Viongozi wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC wamelaani mashambulio ya wafanyabiashara ndogo ndogo wa kigeni dhidi ya polisi katika mji wa Johannesburg.
-
Jacob Zuma: Tuhuma za ufisadi wa fedha ni njama iliiyopangwa dhidi yangu
Jul 15, 2019 23:11Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa vikao vya kuchunguza tuhuma za ufisadi dhidi yake, ni njama iliyopangwa dhidi yake.
-
Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani
Jul 06, 2019 08:25Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma kutokana na vita vya kibiashara vya Marekani, vilivyochechewa na wivu.
-
Madada wa Afrika Kusini waishtaki Saudia UN kwa kuwazuilia na kuwatesa
Jun 26, 2019 02:16Madada wawili wa Afrika Kusini ambao wamewahi kufungwa jela bila kufunguliwa mashitaka nchini Saudi Arabia wamewasilisha malalamiko yao kwa Umoja wa Mataifa.
-
Kuapishwa rais wa Afrika Kusini na mustakbali wa nchi hiyo
May 27, 2019 02:39Baada ya kupita karibu siku 20 tokea kufanyika uchaguzi mkuu wa bunge nchini Afrika Kusini ambapo chama tawala cha African National Congress ANC kiliibuka mshindi, bunge hilo hatimaye limeidhinisha na kumuapisha Cyril Ramaphosa, rais wa sasa wa nchi hiyo kuhudumia kipindi kingine cha miaka mitano.