-
Afrika Kusini ina hamu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran
Mar 08, 2019 04:32Spika wa Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini ameeleza juu ya utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran
Feb 22, 2019 04:33Balozi wa Afrika Kusini hapa mjini Tehran amesema kuwa, kuna uwezo mkubwa mno katika sekta mbalimbali nchini Iran hususan katika uga wa madini, utalii na teknolojia ya mawasiliano na kwamba, nchi yake inaweza kuyatumia hayo kwa ajili ya kupanua zaidi ushirikiano kati yake na Iran.
-
Afrika Kusini: Kujiondoa Marekani JCPOA hakuathiri uhusiano wetu na Iran
Feb 21, 2019 12:12Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran amesema hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA haitapunguza ushirikiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga za uchumi, biashara na utamaduni.
-
Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani zaiomba radhi Afrika Kusini
Feb 05, 2019 12:30Balozi za nchi tano za Magharibi nchini Afrika Kusini zimemuandikia barua ya kuomba radhi Rais Cyril Ramaphosa wa nchi hiyo, baada ya kukiuka protokali za kibalozi.
-
Chama cha ANC na ajenda yake ya kuandaa ajira zaidi kuelekea uchaguzi wa 2019
Jan 12, 2019 10:25Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameahidi kuandaa ajira zaidi, kuboresha uchumi na kushughulikia suala la ubaguzi wa rangi nchini humo. Rais Ramaphosa ameyasema hayo akihutubia mkutano wa chama chake wa kufungua kampeni za uchaguzi wa bunge wa mwaka huu.
-
'Utatuzi wa suala la ardhi Afrika Kusini ni chanzo cha umoja wa kitaifa'
Dec 25, 2018 03:39Naibu Rais wa Afrika Kusini, David Mabuza, amesema kuwa, kutatua suala la ardhi kutaleta umoja wa kitaifa, mshikamano na hisia za utaifa nchini humo.
-
Ajali za barabarani zaua watu zaidi 760 ndani ya siku 20 Afrika Kusini
Dec 21, 2018 11:04Watu 767 wamefariki dunia katika ajali za barabarani zilizotokea mwezi huu wa Disemba nchini Afrika Kusini.
-
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba
Dec 04, 2018 21:40Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini kimetangaza kuwa, yumkini kikaenda mahakamani kusimamisha pendekezo la kufanyika marekebisho ya ardhi baada ya Bunge kupasisha ripoti inayoidhinisha kufanyika marekebisho ya katiba yatakayoruhusu kutwaliwa ardhi zinazomilikiwa na wazungu waliowachache bila ya kulipwa fidia.
-
Kushtadi ghasia Afrika Kusini kutokana na huduma mbovu na umaskini
Oct 18, 2018 00:42Ghasia na machafuko yanayoendelea kuikumba Afrika Kusini kutokana na wananchi kutoridhishwa na huduma mbovu na umaskini zimeongezeka pakubwa katika mwaka huu wa 2018. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana Jumatano.
-
Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande
Oct 17, 2018 00:48Rais Hassan Rouhani amesema Iran na Afrika Kusini zina uwezo na fursa nzuri sana ambazo zinaweza kutoa mchango kamilishi kwa uchumi wa nchi mbili.