Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Afrika Kusini inaendelea kuziuzia Saudia, Imarati silaha zinazoua Wayemen

    Afrika Kusini inaendelea kuziuzia Saudia, Imarati silaha zinazoua Wayemen

    Jul 27, 2018 03:21

    Ripoti ya kila mwaka ya Kamati ya Kitaifa ya Kudhibiti Silaha nchini Afrika Kusini (NCACC) inaonesha kuwa, Saudi Arabia na Imarati zinaendelea kurundika silaha zinazonunua kutoka nchi hiyo ya Kiafrika, na ambazo zinatumika mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • China, Afrika Kusini zatoa wito wa kushirikiana kibiashara katika mkutano wa BRICS

    China, Afrika Kusini zatoa wito wa kushirikiana kibiashara katika mkutano wa BRICS

    Jul 25, 2018 09:53

    China na Afrika Kusini leo zimezitolea wito nchi wenza zinazounda kundi la BRICS kupambana na kile kilichotajwa na nchi hizo kuwa ni hatua ya kuvilinda na ushindani wa nje viwanda vya ndani vya nchi moja kupitia ushuru wa forodha.

  • Madereva 11 wa taxi Afrika Kusini wapigwa risasi na kuuawa wakitoka mazishini

    Madereva 11 wa taxi Afrika Kusini wapigwa risasi na kuuawa wakitoka mazishini

    Jul 22, 2018 03:02

    Maderva 11 wa taxi wamepigwa risasi na kuuawa nchini Afrika Kusini wakati wakirejea mjini Johannesburg baada ya kuhudhuria mazishi ya mwenzao katika eneo la Kwa-Zulu Natal.

  • Afrika Kusini yasema itaendelea kulaani jinai za Israel huko Palestina

    Afrika Kusini yasema itaendelea kulaani jinai za Israel huko Palestina

    Jul 08, 2018 23:22

    Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina hususan katika Ukanda wa Gaza hayakubaliki na kwamba kwa sababu hiyo balozi wake hatarejea Tel Aviv.

  • Waislamu Afrika Kusini walaani mauaji ya kikatili msikitini

    Waislamu Afrika Kusini walaani mauaji ya kikatili msikitini

    Jun 15, 2018 11:07

    Baraza la Kisheria la Waislamu la Afrika Kusini (MJC) limelaani vikali shambulizi la kikatili lililotokea Alhamisi katika eneo la Malmesbury karibu na mji wa Cape Town, na kusababisha vifo vya waumini wawili wa Kiislamu na wengine wawili kujeruhiwa.

  • Zarif arejea Tehran kutokea Afrika Kusini

    Zarif arejea Tehran kutokea Afrika Kusini

    Jun 14, 2018 10:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amerejea hapa Tehran leo asubuhi baada ya kumaliza ziara rasmi nchini Afrika Kusini ambako alionana na kufanya mazungumzo na viongozi wa mbalimbali wa nchi hiyo.

  • Watu wawili wauawa kwa kudungwa visu msikitini nchini Afrika Kusini

    Watu wawili wauawa kwa kudungwa visu msikitini nchini Afrika Kusini

    Jun 14, 2018 03:42

    Kwa akali watu wawili wamethibitishwa kuuawa kwa kudungwa visu wakiwa msikitini, baada ya mtu mmoja kuvamia eneo hilo la ibada nchini Afrika Kusini.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wakutaka mjini Pretoria

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wakutaka mjini Pretoria

    Jun 12, 2018 23:53

    Dk Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo ameonana na waziri mwenzake wa Afrika Kusini na kujadiliana naye masuala muhimu ya pande mbili.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kukutana na Rais wa Afrika Kusini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kukutana na Rais wa Afrika Kusini

    Jun 12, 2018 04:17

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ameelekea Afrika Kusini akiongoza ujumbe wa kisiasa na kiuchumi.

  • Mada za milipuko zagunduliwa katika msikiti wa Imam Hussein AS Durban Afrika Kusini

    Mada za milipuko zagunduliwa katika msikiti wa Imam Hussein AS Durban Afrika Kusini

    May 14, 2018 02:59

    Polisi nchini Afrika Kusini imegundua kifurushi kinachosadikiwa kuwa mada za milipuko katika msikiti wa Imam Hussein AS katika mji mdogo wa Verulam nje ya Durban msikiti ambao juma lililopita ulivamiwa na magaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS