Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Kituo cha polisi chashambuliwa Afrika Kusini, polisi wauawa

    Kituo cha polisi chashambuliwa Afrika Kusini, polisi wauawa

    Feb 21, 2018 10:58

    Watu waliokuwa na silaha wameshambulia kituo cha polisi katika mji mdogo wa Nqcobo nchini Aftrika Kusini na kuua polisi wasiopungua 5 na mwanajeshi mmoja.

  • Ramaphosa kufanya mabadiliko baraza la mawaziri Afrika Kusini

    Ramaphosa kufanya mabadiliko baraza la mawaziri Afrika Kusini

    Feb 20, 2018 23:43

    Rais mpya wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema sasa umewadia wakati wa kufanya mabadiliko katika baraza la mawaziri huku kukiwa na tetesi kuhusu kuendelea au kutoendelea kubakia Waziri wa Fedha, Malusi Nkanyezi Gigaga.

  • Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais mpya wa Afrika Kusini

    Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais mpya wa Afrika Kusini

    Feb 15, 2018 12:51

    Bunge la Afrika Kusini limemchagua Cyril Ramaphosa ambaye ni Mwenyekityi wa chama tawala cha ANC kuwa rais mpya wa nchi hiyo.

  • Afrika Kusini yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa

    Afrika Kusini yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa

    Feb 13, 2018 23:23

    Afrika Kusini imetangaza ukame unaoikumba nchi hiyo kuwa janga la kitaifa kutokana na hali mbaya inayoikumba nchi hiyo baada ya mvua kukosa kunyesha ipasavyo kwa muda wa miaka mitatu mfululizo.

  • Chama tawala Afrika Kusini chamwamuru Rais Zuma aachie madaraka; atatangaza msimamo wake kesho

    Chama tawala Afrika Kusini chamwamuru Rais Zuma aachie madaraka; atatangaza msimamo wake kesho

    Feb 13, 2018 13:19

    Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimemwamuru Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ajiuzulu kama kiongozi wa nchi, baada ya mazungumzo marefu ya kuamua hatima ya kiongozi huyo ambaye kipindi cha uongozi wake kilichogubikwa na kashfa za ufisadi kimelitia doa na kuligawa taifa hilo katika enzi za baada ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa Apatheidi.

  • Kupatiwa Rais Zuma wa Afrika Kusini masaa 48 ya kujiuzulu

    Kupatiwa Rais Zuma wa Afrika Kusini masaa 48 ya kujiuzulu

    Feb 13, 2018 09:38

    Kufuatia kushtadi mgogoro nchini Afrika Kusini, chama tawala cha cha ANC kimempatia Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo masaa 48 ili ajiuzulu au ajiandae kuachia ngazi.

  • Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC

    Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC

    Feb 13, 2018 04:48

    Jeshi la Afrika Kusini limeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu

    Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini yaporomoka, ANC kumuondoa Zuma ofisini kwa nguvu

    Feb 13, 2018 04:35

    Thamani ya sarafu ya Afrika Kusini (rand) imeporomoka baada ya chama tawala nchini humo ANC kutishia kuwa kitamuondoa ofisini kwa nguvu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • Rais Zuma wa Afrika Kusini apewa masaa 48 ajiuzulu

    Rais Zuma wa Afrika Kusini apewa masaa 48 ajiuzulu

    Feb 12, 2018 23:40

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amepewa masaa 48 awe ameachia ngazi, baada ya kufanyika mkutano wa dharura wa chama tawala ANC.

  • Ramaphosa aahidi kutomvumilia fisadi yoyote Afrika Kusini

    Ramaphosa aahidi kutomvumilia fisadi yoyote Afrika Kusini

    Feb 12, 2018 04:13

    Mwenyekiti Taifa wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini ameahidi kupambana vikali na mafisadi na kutomvumilia mbadhirifu yeyote wa mali ya umma.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS