-
Zarif: Iran ni mshirika wa kuaminiwa wa Afrika Kusini
Sep 04, 2017 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inaweza kuwa mshirika wa kuaminika wa Afrika Kusini katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mtazamo maalumu wa Iran kuhusu bara la Afrika
Sep 03, 2017 01:30Katika mazungumzo yake na Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inalipa umuhimu mkubwa suala la kuimarisha uhusiano wake na nchi zote za Afrika.
-
Rais Rouhani: Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na Afrika Kusini
Sep 02, 2017 10:45Rais Hassan Rouhani amesema Iran imekusudia kuimarisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiafrika hususan Afrika Kusini.
-
Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran
Sep 01, 2017 10:47Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Grace Mugabe apewa kinga ya kidiplomasia ya kuondoka Afrika Kusini
Aug 20, 2017 03:28Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe ambaye anakabiliwa na kesi ya kumpiga na kumjeruhi mwanamitindo wa Afrika Kusini amepewa kinga ya kidiplomasia.
-
Afrika Kusini yasusia kongamno la Kiafrika na utawala haramu wa Kizayuni
Aug 12, 2017 08:41Balozi wa Afrika Kusini nchini Lebanon ametangaza kuwa nchi yake imesusia kongamano la viongozi wa Kiafrika na utawala Kizayuni wa lsrael.
-
ANC yapinga wito wa kuvunjwa Bunge Afrika Kusini
Aug 11, 2017 11:23Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) kimepinga wito wa kuvunjwa Bunge la nchi hiyo.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7
Aug 09, 2017 02:34Kwa mara nyingine tena Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kuenguliwa madarakani baada ya kupataka uungaji mkono hafifu wa chama tawala ANC katika kura ya kutokuwa na imani naye Bungeni.
-
ANC yapinga safari ya ujumbe wa Israel Afrika Kusini
Aug 07, 2017 22:34Msemaji wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC amesema kuwa, chama hicho hakitakutana na ujumbe wa Israel utakaotembelea nchi hiyo mwezi huu wa Agosti kutokana na uhalifu na jinai zinazofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina.
-
Ghasia zapamba moto Afrika Kusini kabla ya kujadiliwa suala la kumsaili Rais Zuma
Aug 07, 2017 12:09Machafuko ya kisiasa yanaripotiwa kupamba moto nchini Afrika Kusini kabla ya zoezi la kuchunguzwa kadhia ya kumsaili Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.