-
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati na UN watuhumiwa kuwa chanzo cha kushadidi mgogoro nchini humo
Aug 06, 2017 23:15Anicet-Georges Dologuélé, mbunge wa bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema, udhaifu wa rais wa nchi hiyo na kutochukua hatua yoyote askari wa kofia buluu wa Umoja wa Mataifa ndio sababu ya kushamiri na kushadidi mgogoro nchini humo.
-
Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao
Aug 01, 2017 21:59Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini wamefanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusu namna ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili hususan katika uga wa siasa.
-
Wapalestina wapongeza hatua ya Afrika Kusini kupunguza uhusiano na Israel
Jul 09, 2017 09:34Wapalestina wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC, ya kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas yataka Israel ishinikizwe ili iheshimu haki za Wapalestina
Jul 07, 2017 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kubanwa na kushinikizwa utawala haramu wa Israel ili uheshimu haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Serikali Afrika Kusini kuchukua udhibiti wa ardhi bila kutoa fidia
Jul 05, 2017 23:37Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema kuna pendekezo la kuiwezesha serikali ya nchi hiyo kuchukua udhibiti wa ardhi pasina kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi hiyo.
-
Afrika Kusini kuomba msaada wa nje kuunusuru uchumi
Jun 30, 2017 23:07Afrika Kusini imetangaza kuwa huenda ikahitajia misaada ya kifedha kutoka nje ya nchi ili kuunusuru uchumi wa nchi hiyo unaoyumbayumba.
-
Mahakama Afrika Kusini yapiga marufuku shule kutangaza dini yoyote
Jun 28, 2017 10:36Mahakama moja nchini Afrika Kusini leo Jumatano imeamuru kuwa, taasisi za elimu za umma hazipaswi kueneza na kutangaza dini moja pekee na kuziweka kando dini nyingine, ikisema kuwa kufanya hivyo ni kukiuka Hati ya Shule.
-
Zuma: Afrika Kusini inaondokana na mdodoro wa uchumi
Jun 24, 2017 23:56Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi hiyo hivi sasa inaondoka katika hali ya mdodoro wa kiuchumi.
-
Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini akanusha kumiliki kasri Dubai
Jun 05, 2017 02:09Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekanusha madai ya kumiliki kasri katika Umoja wa Falme za Kiarabu au Imarati.
-
Jumatano, 31 Mei, 2017
May 30, 2017 23:32Leo ni Jumatano tarehe tano Ramadhani 1438 Hijiria, sawa na tarehe 31 Mei, 2017 Miladia.