-
Kuendelea hatua za kimataifa dhidi ya uvamizi wa Israel
Mar 03, 2025 02:22Katika kuendeleza mapambano na kupinga jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza kuwa watazizuia meli zilizobeba silaha kwa ajili ya Israel kuingia katika bandari za nchi hizo.
-
Operesheni ya Jeshi la Somalia yaua magaidi 70 wa Al-Shabaab katika jimbo la Hirshabelle
Feb 26, 2025 11:42Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa vikosi vya jeshi vikishirikiana na vikosi vingine vya ndani vimewaua wanamgambo wapatao 70 wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab katika operesheni ya mashambulizi viliyotekeleza jana Jumanne katika maeneo kadhaa ya jimbo la Hirshabelle kusini mwa katikati ya nchi hiyo.
-
Afrika Kusini: Usitishaji vita Gaza sharti ulete amani ya kudumu
Feb 21, 2025 02:50Rais wa Afrika Kusini amesema usitishaji wa mapigano katika Ukanda wa Gaza unapasa kuleta uadilifu na amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
Afrika Kusini kugeukia Russia, Iran kwenye mradi wake wa nyuklia?
Feb 18, 2025 07:32Afrika Kusini imesema huenda itashirikiana na Russia au Iran katika juhudi za kupanua uwezo wake wa nishati ya nyuklia.
-
Iran yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kuishtaki Israel ICJ
Feb 14, 2025 02:33Mansour Shakib Mehr, balozi wa Iran nchini Afrika Kusini amepongeza hatua ya serikali ya Pretoria ya kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutokana na jinai za utawala huo ghasibu huko Gaza.
-
Afrika Kusini: Katu hatutaondoa kesi dhidi ya Israel ICJ licha ya vitisho vya Trump
Feb 13, 2025 02:53Afrika Kusini imeapa kutoondoa kesi yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), licha ya vitisho, mashinikizo na kukatiwa misaada na utawala wa Donald Trump.
-
Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani
Feb 09, 2025 07:12Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump, wa kwenda kuwa wakimbizi nchini Marekani, kwa madai ya kubaguliwa nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini: Tunaendelea kushikamana na wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 07:55Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendelea kushikakama na kuwa pamoja na wananchi wa Palestina.
-
Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani
Feb 07, 2025 07:55Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi.
-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 06, 2025 02:31Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.