-
"Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"
Feb 05, 2025 12:18Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Afrika Kusini yamuonya Trump; Tutasitisha mauzo ya madini kwa Marekani
Feb 05, 2025 02:41Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini haitajitoa katika kikosi cha kulinda amani Kongo
Feb 04, 2025 02:50Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameahidi kuendelea kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya wananchi wa Afrika Kusini kutoa wito wa kuondoka Kongo wanajeshi wa nchi hiyo kufuatia vifo vya walinda amani 14 wa Afrika Kusini.
-
Familia za wahanga zaishtaki serikali ya Afrika Kusini kwa jinai za ubaguzi wa rangi
Jan 24, 2025 03:36Familia 25 za wahanga na manusura wa jinai za kisiasa zilizofanyika zama za ubaguzi wa rangi huko Afrika Kusini zimemfungulia mashtaka Rais wa Cyril Ramaphosa wa nchi iyo na serikali yake kwa kile zinachosema ni kushindwa kuchunguza ipasavyo makosa hayo na kutoa haki mkabala wa jinai hizo za kisiasa.
-
Naibu Rais wa Afrika Kusini: Afrika ijistawishe bila kutegemea Magharibi
Jan 21, 2025 12:52Naibu wa Rais wa Afrika Kusini, Paul Mashatile amesema kuwa, bara la Afrika linapaswa kuhitimisha utegemezi wake kwa madola ya Magharibi.
-
Afrika Kusini yaimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na Msumbiji ili kuzuia jinai
Dec 30, 2024 12:22Afrika Kusini imeimarisha ulinzi na doria kwenye mpaka wake na Msumbiji ili kuzuia na kupambana na uhalifu nyemelezi unaoweza kujitokeza kutokana na maandamano yanayoendelea katika nchi hiyo jirani.
-
Ireland yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Dec 13, 2024 03:40Serikali ya Ireland imetangaza kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala haramu wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Reuters: Trump amemwambia Zelensky anataka vita "visimamishwe mara moja"
Dec 12, 2024 10:32Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemwambia Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba anataka kukomeshwa uhasama wa vita kati ya Russia na Ukraine haraka iwezekanavyo. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters likizinukuu duru kadhaa.
-
Ramaphosa: G-20 ijihadhari na sera za Trump za "Marekani Kwanza"
Dec 04, 2024 12:46Wakati dunia ikisubiri kuapishwa rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametahadharisha kuhusu sera za kiongozi huyo mpya za "Marekani Kwanza".
-
Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake
Nov 22, 2024 02:32Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban.