-
Afrika Kusini imeanza kuwaondoa chini ya ardhi wanaochimba madini kinyume cha sheria
Nov 20, 2024 11:48Wataalamu wa uokoaji wa Afrika Kusini wamefika katika mgodi wa Stilfontein nchini humo kuanza operesheni ya kuwatoa chini ya ardhi wachimba madini kinyume cha sheria.
-
Polisi wa Afrika Kusini wanapanga kuwaondoa wachimba madini haramu chini ya ardhi
Nov 20, 2024 02:37Msemaji wa Polisi ya Afrika Kusini, Athlenda Mathe, amesema kuwa wataalamu wa uokoaji wamekutana ili kutekeleza operesheni ya kuwatafuta wachimbaji haramu katika mgodi uliotelekezwa. Haya yanajiri huku kukiwa na mzozo kati ya wachimba migodi na polisi ya Afrika Kusini ambao umeendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
-
Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria
Nov 10, 2024 06:50Raia wa Lebanon wanaoishi nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza vita na mashambulizi ya kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina
Oct 31, 2024 11:06Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi inayokaribia kurasa 5,000 dhidi ya utawala katili wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Ahmad Nourozi apongeza uungaji mkono wa Afrika Kusini kwa wananchi wa Palestina
Oct 29, 2024 11:36Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa Afrika Kusini inang'aa kama nyota katika kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi wa Palestina na imekuwa na mchango athirifu katika uwanja huo.
-
Afrika Kusini kuwasilisha hati kwa ICJ ya ushahidi wa kisayansi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 28, 2024 02:56Afrika Kusini kuwasilisha hati ya kina katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa ushahidi wa kisayansi kuthibitisha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
-
Pezeshkian: Mandela atakumbukwa kwa mapambano yake dhidi ya dhulma
Oct 24, 2024 07:19Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amemuenzi na kumpongeza kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela kutokana na jitihada na mapambano yake dhidi ya dhulma na ukandamizaji.
-
Afrika Kusini: Tutafuatilia faili na mauaji ya kimbari ya Israel ICJ
Oct 18, 2024 07:59Afrika Kusini imetangaza azma yake ya kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilisha dhidi ya utawala ghasibu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) "licha ya mashinikizo kutoka kwa baadhi ya nchi ya kuitaka kuondoa kesi hiyo.
-
Balozi: Nchi 18 zimejiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Oct 08, 2024 11:41Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran, Dakta Francis Moloi, ameashiria kuongezeka kwa uungaji mkono wa kimataifa kwa kesi ya mauaji ya kimbari ya Gaza dhidi ya Israel, akieleza kuwa kufikia sasa nchi 18 zimejiunga na kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ.
-
Pretoria: Tunatiwa wasi wasi na mauaji ya kigaidi ya Israel
Sep 29, 2024 14:15Afrika Kusini imetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mara moja nchini Lebanon, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel ulianza mashambulio ya anga hivi karibuni, na kuua mamia ya raia huku maelfu ya wengine wakilazimika kuyahama makazi yao.