-
Algeria: Kuna hatari UNSC likashindwa kwa mara ya tatu kuzuia mauaji ya kimbari kufuatia kura ya veto ya US
Sep 20, 2025 02:39Algeria imelitahadharisha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba linakabiliwa na hatari ya kukariri kushindwa kwake mtawalia katika miaka ya nyuma kuzuia mauaji ya kimbari baada ya Marekani kwa mara ya sita kutumia kura yake ya veto kupinga azimio lililoungwa mkono na nchi 14 wanachama kati ya nchi 15 wa UNSC.
-
Ijumaa, 19 Septemba, 2025
Sep 19, 2025 02:31Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 19, 2025 Miladia.
-
Jumamosi, 5 Julai, 2025
Jul 05, 2025 03:15Leo ni Jumamosi 9 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria mwafaka na 5 Julai 2025 Miladia.
-
Jumamosi, 14 Juni 2025
Jun 14, 2025 02:17Leo ni Jumamosi 18 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1446 Hijria sawa na 14 Juni 2025 Miladia.
-
Wanajeshi wa Algeria waangamiza magaidi karibu na mpaka wa Tunisia
Jun 04, 2025 13:12Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeangamiza magaidi wawili wenye silaha katika operesheni inayoendelea ya kukabiliana na magenge ya kigaidi katika mkoa wa mashariki wa Khenchela, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?
May 13, 2025 03:02Sambamba na kuongezeka mvutano kati ya Algeria na Ufaransa, serikali ya Algiers imechukua uamuzi wa kuwafukuza maafisa wawili wa kiintelijensia wa Ufaransa waliokuwa na pasipoti za kidiplomasia.
-
Algeria yawafukuza majajusi 2 wa Ufaransa kwa kuingia nchini na pasi za bandia za kusafiria
May 12, 2025 02:02Serikali ya Algeria imewafukuza maajenti wawili wa ujasusi wa Ufaransa kwa kuingia nchini humo kwa kutumia "pasi bandia za kidiplomasia " ikiwa ni ishara mpya ya kuongezeka mvutano kati ya nchi mbili hizo.
-
Jumanne, Aprili 22, 2025
Apr 22, 2025 02:31Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2025 Milaadia.
-
Kufukuzwa wanadiplomasia; Je, kwa mara nyingine Algeria imeasi dhidi ya Ufaransa?
Apr 20, 2025 02:25Huku mvutano ukishadidi katika uhusiano wa kisiasa kati ya Ufaransa na Algeria, nchi hizo mbili zimewafukuza wanadiplomasia kadhaa kutoka katika nchi zao.
-
Algeria yawapa wanadiplomasia wa Ufaransa saa 48 waondoke nchini humo
Apr 14, 2025 13:09Mvutano wa kidiplomasia kati ya Algeria na Ufaransa umezidi kupamba moto huku serikali ya Algiers ikiwataka wanadiplomasia 12 wa mkoloni huyo wa zamani wa Ulaya kuondoka nchini humo ndani ya saa 48.