-
Algeria yazialika harakati za Hamas na Fat'h kushiriki mazungumzo na maelewano
Sep 18, 2022 22:08Algeria imetangaza kuwa, imewaalika viongozi Wapalestina wa harakati za Hamas na Fat'h kushiriki katika mazungumzo ya maelewano ya kitaifa mjini Algiers.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 08:32Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Algeria na Ufaransa zakubaliana kuanzisha ushirikiano mpya
Aug 28, 2022 02:36Algeria na Ufaransa zimesaini tamko la pamoja la "ushirikiano mpya" mwishoni mwa ziara ya siku tatu ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Algeria.
-
Mgogoro wa nishati Ufaransa wamlazimisha Macron kuzuru koloni la zamani
Aug 26, 2022 02:35Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewasili Algeria, koloni la kitambo la nchi hiyo ya Ulaya katika safari inayolenga kuitaka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iongeze kiwango cha gesi inayouza barani Ulaya.
-
Algeria na Tunisia zalaani kuuliwa wananchi madhulumu wa Palestina
Aug 06, 2022 03:05Wizara za Mambo ya Nje za Algeria na Tunisia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwaua wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Mwanamichezo shujaa wa Algeria akataa kucheza kwa Wazayuni
Jul 29, 2022 02:32Mmoja wa wanamichezo shujaa wa Algeria amekataa kwenda kucheza mpira katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel ikiwa ni kuendeleza harakati ya kimataifa ya kuwaunga mkono wananchi madhlumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria yapinga tena mpango wa utawala wa ndani Sahara, yaishutumu Rabat kwa udanganyifu
Jul 17, 2022 22:00Algeria mepinga tena mpango wa kuanzisha utawala wa ndani uliopendekezwa na Morocco kwa ajili eti ya kutatua mzozo wa eneo la Sahara Magharibi linalozozaniwa kati ya Morocco na Harakati ya Polisario.
-
Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15
Jul 07, 2022 22:01Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika.
-
Algeria yasimamisha uhusiano wa kitalii na Uhispania, mvutano washtadi
Jun 21, 2022 03:21Serikali ya Algeria imetangaza kusimamisha uhusiano wa kitalii wa nchi hiyo na Uhispania, huku mzozo baina mataifa hayo mawili juu ya mgogoro wa Sahara Magharibi ukiongezeka.
-
Jumatatu tarehe 20 Juni 2022
Jun 19, 2022 22:02Leo ni Jumatatu tarehe 20 Dhulqaada 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 20 Juni mwaka 2022.