-
Jumanne, Juni 14, 2022
Jun 13, 2022 20:45Leo ni Jumanne mwezi 14 Mfunguo Pili Dhulqaad, 1443 Hijiria inayosadifiana na 14 Juni 2022 Milaadia.
-
Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria
Jun 11, 2022 02:55Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Barrell ameonesha waziwazi kuipendelea Uhispania katika mgogoro wake na Algeria kwa kuionya Algiers kuhusu kusimamisha ushirikiano wake na Madrid.
-
Algeria yasimamisha ushirikiano na Uhispania kwa sababu ya kadhia ya Sahara Magharibi
Jun 09, 2022 07:55Algeria imechukua hatua "mara moja" kusimamisha mkataba wa Urafiki baina yake na Uhispania baada ya Madrid kubadilisha msimamo wa miongo kadhaa wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro wa Sahara Magharibi.
-
Miili 4,000 ya wahanga wa ukatili wa Wafaransa yagunduliwa nchini Algeria
May 10, 2022 05:47Waziri wa "Wanajihadi" wa Algeria ametangaza habari ya kugunduliwa visima chungu nzima vyenye miili 4,000 ya watu waliouliwa na wakoloni wa Ufaransa wakati wanajihadi wa Algeria walipoendesha mapambano makali dhidi ya wavamizi hao makatili wa Ulaya.
-
Kuendelea ukosoaji wa Algeria wa mauaji ya kinyama ya Ufaransa dhidi ya Waalgeria
May 10, 2022 04:26Licha ya kupita miongo kadhaa tangu Ufaransa ifanyye mauaji ya kinyama dhidi ya wananchi wa Algeria, lakini mafaili ya jinai hiyo yangali wazi na yanaweza kufuatiliwa.
-
Algeria kufuatilia jinai za Ufaransa nchini humo wakati wa ukoloni
May 09, 2022 06:27Rais wa Algeria amekosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyotokelezwa dhidi ya taifa hilo na dola la kikoloni la Ufaransa na kuongeza kuwa, Algeria itafuatilia faili la jinai za Ufaransa nchini humo katika zama za ukoloni na kuwa haiko tayari kufanya muamala kuhusu kadhia hiyo.
-
Watu 9 wamepoteza maisha katika mlipuko wa gesi mashariki mwa Algeria
Apr 08, 2022 08:36Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea jana mashariki mwa Algreia na kusababisha jengo la ghorofa tatu kuporomoka umeua watu 9 na kujeruhi wengine 16.
-
Kijana wa Algeria awapa watoto Wapalestina dola 2,800 alizoshinda kwenye mashindano ya Qurani
Apr 04, 2022 21:55Kijana wa Algeria aliyeibuka kidedea katika mashindano ya kuhifadhi Qurani tukufu, ametoa dola karibu elfu tatu alizoshinda kwenye mashindano hayo kwa ajili ya watoto wa Kipalestina.
-
Algeria yamwita balozi wake wa Madrid, baada ya Uhispania kubadili msimamo kuhusu Sahara Magharibi
Mar 20, 2022 04:25Algeria imemwita nyumbani balozi wake wa Uhispania kwa ajili ya mashauriano, kutokana na matamshi ya hivi karibuni ya Madrid kuhusu mgogoro wa Sahara Magharibi.
-
Waalgeria: Ufaransa ilipe fidia kwa hasara ilizotusababishia kwa majaribio yake ya nyuklia
Mar 03, 2022 04:24Wananchi wa Algeria wameitaka serikali ya Ufaransa ilipe fidia kwa hasara zilizosababishwa na majaribio yake ya nyuklia iliyofanya ndani ya nchi hiyo katika muongo wa 60 wa karne iliyopita.