Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria

    Algiers: Morocco na Israel zinafanya fitina nchini Algeria

    Feb 17, 2022 04:33

    Rais wa Algeria amesema kuwa Israel na Morocco zinafanya njama ya kuibua hitilafu kati ya Ofisi ya Rais na Jeshi la Algeria na kuzusha fitna nchini humo.

  • Jumatano tarehe 9 Februari 2022

    Jumatano tarehe 9 Februari 2022

    Feb 08, 2022 22:53

    Leo ni Jumatano tarehe 7 Rajab 1443 Hijria sawa na tarehe 9 Februari 2022.

  • Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Feb 08, 2022 05:28

    Mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 5 na 6 za mwezi huu wa Februari huko Addis Ababa Ethiopia umesitisha hadhi ya utawala ghasibu wa Israel ya kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo.

  • Algeria: Ni makosa makubwa kuipa Israel hadhi na mwanachama mwangalizi AU

    Algeria: Ni makosa makubwa kuipa Israel hadhi na mwanachama mwangalizi AU

    Feb 06, 2022 05:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa ni kosa makubwa sana kuupatia utawala haramu wa Israel hadhi ya kuwa mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika (AU).

  • Algeria yasisitizia ulazima wa kuweko umoja wa Wapalestina

    Algeria yasisitizia ulazima wa kuweko umoja wa Wapalestina

    Jan 31, 2022 08:11

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesisitiza udharura wa kuweko umoja na mshikamano baina ya Wapalestina.

  • Marais wa Algeria na Ufaransa wazungumza baada ya miezi kadhaa ya mizozo ya kidiplomasia

    Marais wa Algeria na Ufaransa wazungumza baada ya miezi kadhaa ya mizozo ya kidiplomasia

    Jan 31, 2022 00:36

    Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, baada ya miezi kadhaa ya mivutano ya kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.

  • Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers

    Rais wa Algeria: Kuitetea Palestina ni kipaumbele cha serikali ya Algiers

    Jan 18, 2022 23:56

    Rais wa Algeria ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kulitetea taifa la Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota

    Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota

    Jan 05, 2022 04:13

    Mfalme wa Morocco amehitimisha uhudumu na kkazi za balozi wa nchi hiyo huko Algeria kutokana na kuendelea mvutano kati ya nchi mbili hizo jirani.

  • Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota

    Mzozo baina ya nchi mbili jirani za Algeria na Morocco waendelea kutokota

    Jan 05, 2022 02:08

    Mfalme wa Morocco amehitimisha uhudumu na kkazi za balozi wa nchi hiyo huko Algeria kutokana na kuendelea mvutano kati ya nchi mbili hizo jirani.

  • Algeria yakadhibisha madai ya Morocco dhidi ya Iran na Hizbullah, yasema ni kichekesho

    Algeria yakadhibisha madai ya Morocco dhidi ya Iran na Hizbullah, yasema ni kichekesho

    Dec 16, 2021 13:15

    Naibu Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Algeria anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu za Kiarabu za Maghreb amekadhibisha madai yaliyotolewa na Morocco kwamba jeshi la Iran au wapiganaji wa Hizbullah wamepelekwa Sahara Magharibi kwa ajili ya kuwasaidia wapiganaji wa harakati ya Polisario.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS