-
Araqchi: Pwani ya Iran ni lango la kuunganisha uchumi wa dunia
Feb 16, 2025 13:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa pwani ya Iran ni njia ya kuunganisha uchumi wa dunia.
-
Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina
Feb 11, 2025 02:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesema Umoja wa Mataifa, hasa Baraza lake la Usalama, lazima uchukue msimamo "imara na wa wazi" dhidi ya mpango wa Marekani na Israel unaolenga kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.
-
Iran yasisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati ya kuwakamata Netanyahu na Gallant
Nov 26, 2024 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kuwatia nguvuni Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, waziri mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Araqchi: Ipo nia ya dhati ya kupanua ushirikiano na Syria katika nyanja zote
Nov 20, 2024 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nia ya dhati ya kupanua ushirikiano kati yake na Syria katika nyanja jzote.
-
Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa
Nov 05, 2024 13:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Araqchi aionya Israel: Iran ina mbinu za kulinda taasisi zake za nyuklia
Oct 22, 2024 15:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya kufanya mahesabu mabaya na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inategemea zana za kijeshi zilizotengenezwa hapa nchini na pia mbinu mbalimbali ili kulinda taasisi zake za nyuklia zenye malengo ya kiraia.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuungana kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2024 06:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuungana na kushikamana katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon.
-
Abbas Araghchi: Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni utaendelea hadi ukombozi wa Palestina
Sep 21, 2024 12:13Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni yataendelea hadi ukombozi wa wananchi wa Palestina utakapopatikana.
-
Kuunga mkono Iran maamuzi ya wananchi na muqawama wa Palestina
Sep 04, 2024 12:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano na uamuzi wowote wa makundi ya muqawama na wananchi wa Palestina.
-
Kipaumbele cha sera za kigeni za Iran; nchi jirani, eneo na muqawama
Aug 25, 2024 12:15Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika, Amerika ya Latini na Asia Mashariki.