- 
          Iran yafafanua mchakato wa kuachiwa huru raia wake 3 kwa kubadilishana na jasusi wa IsraelNov 27, 2020 12:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ametoa ufafanuzi kuhusu namna raia watatu wa Iran walivyoachiwa huru mkabala na Jamhuri ya Kiislamu kumwachia jasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel. 
- 
          Araqchi: Iran haitaacha haki yake isiyo na shaka kwa sababu tu ya ubabe wa MarekaniJul 27, 2020 03:41Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani ni haki ya wazi na isiyo na shaka ya wananchi wa Iran na akasisitiza kuwa: Licha ya kuitolea gharama kubwa kutokana na vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu haitaiacha haki yake hiyo ya wazi kabisa kwa sababu tu ya ubabe wa Marekani. 
- 
          Kusajiliwa kanali ya kifedha ya Ulaya; hatua iliyochelewa lakini inayotia matumainiFeb 01, 2019 12:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha kuzinduliwa mfumo maalumu wa kifedha wa nchi za Ulaya unaolenga kudumisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran, ikiwa ni hatua ya kwanza iliyochukuliwa na nchi hizo kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA. 
- 
          Araqchi: Kusajiliwa mfumo wa mabadilishano ya kifedha ni hatua ya kwanza ya Ulaya katika kutekeleza ahadi kwa IranJan 31, 2019 14:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: "Kusajiliwa mfumo wa mawasiliano ya kifedha ni hatua ya kwanza ya Ulaya katika kutekeleza ahadi kwa Iran, na matumaini yetu ni kwamba mfumo huo utatekelezwa kikamilifu." 
- 
          Maendeleo yamepatikana katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na UlayaMay 28, 2018 07:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kipindi cha wiki mbili zilizopita kumepatikana maendeleo mazuri katika mazungumzo baina ya Iran na nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, lakini bado matoeko yanayofaa hayajapatikana. 
- 
          Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOAMar 16, 2018 06:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani. 
- 
          Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa KiislamuJan 31, 2018 15:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu. 
- 
          Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)Nov 16, 2017 07:44Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimejengeka katika msingi wa kuleta amani, uthabiti na utulivu. Iran inafualitia sera za kupunguza migogoro na malumbano katika eneo na inashiriki katika mipango yote yenye kufikia lengo hilo. 
- 
          Araqchi: Hatua ya Kongresi ya Marekani ni mwendelezo wa uadui wa Washington dhidi ya IranJul 30, 2017 07:56Mkuu wa timu ya Iran ya kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesema kuwa, hatua ya hivi karibuni ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi ya Iran ni hatua ya kiuadui na chuki dhidi ya Tehran. 
- 
          Araqchi: Mazingira yaliyojengwa na serikali ya Trump kuhusiana na JCPOA hayakubalikiApr 26, 2017 02:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema serikali mpya ya Marekani imejenga anga na mazingira ya utata, shaka na mkanganyo kuhusiana na hatima ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).