Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Araqchi

  • Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Feb 13, 2017 17:19

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.

  • Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama

    Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama

    Jan 25, 2017 14:48

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano baina ya mataifa mbalimbali katika uga wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na aina mbalimbali ya vitisho vya kiusalama.

  • Iran: Nchi za Kiislamu zizuie Waislamu kudhulumiwa duniani

    Iran: Nchi za Kiislamu zizuie Waislamu kudhulumiwa duniani

    Jan 19, 2017 07:55

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezitaka nchi za Kiislamu zisikubali wala kuvumilia kuona Waislamu wakikandamizwa na kudhulumiwa duniani.

  • Araqchi: Marekani na baadhi ya nchi zimekuwa zikikwamisha utekelezwaji wa JCPOA

    Araqchi: Marekani na baadhi ya nchi zimekuwa zikikwamisha utekelezwaji wa JCPOA

    Jan 15, 2017 14:32

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Tehran imekuwa ikikabiliwa na ukiukwaji wa ahadi, kigugumizi, siasa za ucheleweshaji mambo na chuki za Marekani na baadhi ya nchi katika utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Kamisheni ya pamoja ya JCPOA yachunguza ukiukaji ahadi wa Marekani

    Kamisheni ya pamoja ya JCPOA yachunguza ukiukaji ahadi wa Marekani

    Jan 11, 2017 07:09

    Kikao cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika kiwango cha Manaibu Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni kilichoitishwa kwa takwa la Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa makubaliano hayo uliofanywa na Marekani kimemalizika huko Vienna Austria kwa kutolewa taarifa.

  • Iran yataka ifidiwe baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia

    Iran yataka ifidiwe baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia

    Jan 11, 2017 04:08

    Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema hatua ya Bunge la Kongresi la Marekani kuongeza kwa muda wa miaka mingine kumi Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) ni ukiukaji wa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 na kwa msingi huo Tehran inapasa ifidiwe kutokana na ukiukaji huo.

  • Iran inatoa viza ya siku 30 uwanja wa ndege kwa nchi 180

    Iran inatoa viza ya siku 30 uwanja wa ndege kwa nchi 180

    Feb 14, 2016 07:06

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vituo vya uwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje katika mikoa na viwanja vya ndege vinatoa viza ya siku 30 kwa raia wa nchi 180 duniani.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS