Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Armenia

  • Jumamosi, 21 Septemba, 2024

    Jumamosi, 21 Septemba, 2024

    Sep 21, 2024 04:29

    Leo ni Jumamosi 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria mwafaka na 21 Septemba 2024 Miladia.

  • Mazungumzo ya Amir-Abdollahian na viongozi wa Armenia

    Mazungumzo ya Amir-Abdollahian na viongozi wa Armenia

    Dec 28, 2023 04:23

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran aliyeko safarini nchini Armenia amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.

  • Alkhamisi, tarehe 21 Septemba 2023

    Alkhamisi, tarehe 21 Septemba 2023

    Sep 21, 2023 02:26

    Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Septemba 2023.

  • Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo

    Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo

    Sep 10, 2023 04:35

    Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga vikali aina yoyote ya uzushaji mivutano na kubadilishwa mipaka ya kihistoria ya eneo hili na akabainisha kwamba Tehran iko tayari kutoa mchango wa kuzuia kufanywa mabadiliko yoyote katika hali ya jiopolitiki ya eneo.

  • Iran yasisitiza sera zake za kuwa na uhusiano na ujirani mwema na majirani zake.

    Iran yasisitiza sera zake za kuwa na uhusiano na ujirani mwema na majirani zake.

    Nov 11, 2022 06:49

    Nasser Kanaani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huku akijibu madai ya hivi karibuni ya Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan kuhusiana na eti uungaji mkono wa Iran kwa Armenia, amesisitiza kuwa sera kuu za Iran zimejengeka katika msingi wa kuwa na ujirani mwema na kupanua mahusiano na majirani wake wote na kuwa kuimarisha uhusiano na mmoja wa majirani hao hakuna maana ya kufanya uadui na majirani wengine.

  • Amir-Abdollahian: Mienendo ya Marekani ni ya kinafiki

    Amir-Abdollahian: Mienendo ya Marekani ni ya kinafiki

    Oct 23, 2022 04:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wanazungumza jambo moja na kutenda vingine, na mara nyingi hutafuta hutaka kujionesha mbele ya vyombo vya habari.

  • Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Oct 22, 2022 12:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.

  • UN yatiwa hofu na vita vipya kati ya Azerbaijan na Armenia vilivyoua watu 100

    UN yatiwa hofu na vita vipya kati ya Azerbaijan na Armenia vilivyoua watu 100

    Sep 14, 2022 03:19

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na ripoti za kuibuka mapigano mapya baina ya wanajeshi wa Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia, yaliyopelekea kuuawa makumi ya askari wa pande zote mbili.

  • Rais wa Iran: Zichukuliwe hatua kuzuia kupenya Israel katika eneo la Asia Magharibi

    Rais wa Iran: Zichukuliwe hatua kuzuia kupenya Israel katika eneo la Asia Magharibi

    Jun 02, 2022 10:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua madhubuti ili kuzuia kupenya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.

  • Jumanne tarehe 21 Septemba 2021

    Jumanne tarehe 21 Septemba 2021

    Sep 21, 2021 02:43

    Leo ni Jumanne tarehe 14 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 21 mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS