-
Mwakilishi wa Sheikh Zakzaky: Ayatullah Khamenei ameifundisha dunia muqawama na kusimama kidete
Sep 04, 2023 07:51Mwakilishi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameifundisha dunia nzima muqawama na kusimama kidete.
-
Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger
Sep 18, 2022 08:16Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Kujibu upotoshaji wa BBC, Arubaini ya Imam Husain AS si kueneza ukahaba + Sauti
Oct 17, 2019 11:30Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Wapenzi wasikilizaji, neno mashaya hivi sasa limeingia katika msamiati wa kidini na kupata nguvu hasa kati ya jamii ya Waislamu ya wapenzi na maashiki wakubwa wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti
Oct 10, 2019 15:36Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli
Oct 09, 2019 13:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS inabeba ujumbe wa umoja na mshikamano wa Waislamu
Oct 28, 2018 08:08Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema Arubaini ya Imam Hussein AS inabeba ujumbe muhimu wa mahaba, umoja na mshikamano wa Waislamu kote duniani mbele ya madola ya kibeberu.
-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 28, 2018 03:02Wanajeshi wa Nigeria wameushambulia msafara wa Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, viungani mwa mji mkuu wa nchi Abuja, na kuua shahidi kumi miongoni mwa waumini hao.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)
Oct 27, 2018 11:10Haram na makaburi matakatifu ya Mtume Muhammad (saw) na Maimamu maasumu wa nyumba yake tukufu (as) katika kipindi chote cha historia ya Uislamu ya zaidi ya miaka 1400, yamekuwa kimbilio la nyoyo zenye hamu kubwa za waumini na wafuasi wao.
-
Arubaini ya Imam Husain AS, nembo ya umoja baina ya Iran na Iraq
Oct 26, 2018 13:38Maandamano ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husain AS na wajibu wa kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Tehran na Baghdad ndiyo ajenda kuu ya mazungumzo ya simu yaliyofanywa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Iraq.
-
Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq
Nov 11, 2017 11:12Jana Ijumaa mwezi 20 Mfunguo Tano Safar sawa na tarehe 10 Novemba 2017 ilisadifiana na Arubaini ya Imam Husain AS kwa mujibu wa kalenda ya Iraq. Mamilioni ya Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wameshiriki katika kumbukumbu hizo zilizofikia kileleni jana huko Karbala Iraq. Mwenzetu Salumu Bendedra aliyetumwa maalumu kuakisi tukio hilo ametutayarishia ripoti ifuatayo