• Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 10:27

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?

  • Imam Hussein AS; mhimili wa umoja

    Imam Hussein AS; mhimili wa umoja

    Sep 15, 2018 12:03

    Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku hizi za Muharram na tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na masahaba zake katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)

    Sep 11, 2018 07:42

    Katika kipindi hiki cha Maswali Kuhusu Tukio la Ashura, tunakusudia kujibu baadhi ya maswali ambayo huenda yakawa yanaulizwa na baadhi ya watu kuhusiana na tukio hili.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti

    Nov 25, 2017 19:33

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

    Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

    Nov 07, 2017 11:55

    Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.

  • Arubaini; kukamilika Ashura

    Arubaini; kukamilika Ashura

    Nov 06, 2017 10:26

    Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.

  • Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura

    Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura

    Oct 02, 2017 12:22

    Akiwahutubia waombolezaji wa kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein (as) mchana wa siku ya Ashura kupitia njia ya video, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitizia umuhimu wa kumtabua adui.

  • Zaidi ya waombolezaji milioni mbili wameshiriki kwenye maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS Karbala

    Zaidi ya waombolezaji milioni mbili wameshiriki kwenye maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS Karbala

    Oct 02, 2017 04:28

    Maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS yamefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ambapo kwa mujibu wa maafisa wa mji huo idadi ya wafanya ziara walioshiriki kwenye maombolezo ya mwaka huu imepindukia watu milioni mbili.

  • Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Oct 02, 2017 02:30

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.

  • Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW

    Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW

    Oct 01, 2017 04:01

    Jumapili ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Husain AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.