-
Leo ni siku ya Ashura, Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran inatoa mkono wa pole kwa wapenzi wote wa Mtume Muhammad SAW
Oct 01, 2017 04:01Jumapili ya leo inasadifiana na mwezi 10 Muharram 1439 Hijria, siku ya kukumbuka wakati damu ilipoushinda upanga kwa ushujaa wa Imam Husain AS na wafuasi wake wachache katika jangwa la Karbla la Iraq ya leo.
-
Jumapili, Oktoba 1, 2017
Oct 01, 2017 02:33Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria, mwafaka na tarehe Mosi Oktoba 2017 Miladia.
-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 12:29Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.
-
Utawala wa Aal Khalifa walaaniwa kwa kuhujumu madhihirisho ya Ashura nchini Bahrain
Sep 24, 2017 07:23Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama ya kuhujumu madhihirisho ya Ashura na kuendelea kuzingirwa nyumba ya mwanazuoni wa Kiislamu Sheikh Issa Qassim.
-
Ujumbe na Ibra Tunazopata Katika Tukio la Ashura
Sep 24, 2017 06:43Assalamu alaykum wasikilizaji wetu wapenzi warahmatullahi wabarakatuh. Mapambano ya Imam Hussein (as) na wafuasi wake waaminifu yalichukua muda usiotimia hata siku moja; na shakhsia wote hao wakubwa na waliokomboka wakauliwa shahidi na jeshi kubwa la Yazid mwana wa Muawiyah, mwana wa Abu Sufyan.
-
Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS
Sep 21, 2017 08:10Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokuandalieni kwa munasaba wa siku hizi 10 za kwanza za Mwezi wa Muharram ambapo Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaomboleza kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS. Katika makala yetu ya leo tutaangazia mada ya Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS.
-
Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi
Sep 20, 2017 07:48Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.
-
Jumamosi, Juni 8, 2017
Jun 03, 2017 02:25Leo ni Jumamosi tarehe 8 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1438 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 3 Juni mwaka 2017 Miladia.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 08:09Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.
-
Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan
Oct 13, 2016 04:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamejumuika kwa ajili ya maombolezo ya Ashura, katika miji ya Kaduna na Funtua nchini Nigeria hapo jana.